Baada ya kuitangaza kamati kuu ya CCM,Kikwete na halimashauri na kamati kuu yake wamejitia aibu.
1.Ni kweli vijana waliofukuzwa CHADEMA wana umuhimu katika kikao chao?
2. Nape kujisifia kwa waliofukuzwa toka CHADEMA ndio kamati ya ushindi 2015?
3. CHADEMA itasamaratika ndani ya mwaka mmoja ndio hawa akina Shonza
watakaoimaliza?
4. Hatutegemei CCM ifarijike na mamluki waliowatuma na kushindwa kazi zao ndani ya CHADEMA,na baada ya kufukuzwa eti wengi watafuata kwa hili Nape umechemka.
5. Kama hawa ndio wanamshauri mwenyekiti wao Kikwete,kupoteza muda wao kuwasikiliza akina Shonza sasa mwisho wao ni huu.
6 Chama legelege huzaa serikali dhaifu,kwa mtindo huu CCM haifiki mbali na ina wanachama wangapi mpaka wapambe magazeti yao na vijana wa CHADEMA waliofukuzwa kwa kuwashtukia kuwa ni mamluki wa CCM,jaribuni kujenga mbinu za kisasa kujenga chama chenu kuliko kutuma wapambe kusikiliza chadema wana mipango gani.
Kwa hili nawapa pole sana wana CCM kwa uongozo wenu dhaifu na unaotia aibu taifa letu zuri.