Ndugu zangu WATANZANIA, Hali ya nchi yetu inakoelekea si kuzuri, Hata tuliotumainishwa kwa hili na lile na kuona mwanga mbele yetu, matumaini yanazidi kutokomea siku hadi siku!
Leo hii nchi...
Juliana Shonza aliyetimuliwa CHADEMA na kujiunga na CCM jana amelalamikia CHADEMA kuwa kuna mfumo dume na kwamba hakuna mwingine anayetoa kauli zaidi ya viongozi wa juu wa chama hicho.
Shonza...
hakika sasa ni muda wa CDM Kuwajenga kisaikojia jamii na kada zote za watanzania kumuunga mkono amiri jeshi mkuu mpya nje ya CCM mara baada ya 2015.picha hii imetokana na matokeo ya chaguzi za...
Kama unataka kujua nani yuko nyuma ya machafuko ya Zanzibar fungua Computers na simu zote za marais wastaafu wa Zanzibar na maswahiba wao wa karibu (wanafahamika) utagundua mipango yao. Lengo kuu...
Wakuu kama upo karibu na Redio tune passion fm muda huu(Saa mbili asubuhi) Mtela Mwampamba anafanya mahojiano kuhusu siasa zake,
Nimesikia kwa masikio yangu,Mtela mwampamba akidai anamjua baba...
Wenzetu bili za umeme zinamfanya Waziri Mkuu kujiuzulu. Hapa kwetu mauaji na uonevu wa kila siku wanaunda tume za uchunguzi. Za mwizi arobaini.
Bulgaria PM resigns after electric bill shock...
Nasikitishwa na kauli ya waziri wa serikali ya zanzbar Bwn. Seif .S.Hamad kwa kulaani ujio na juhudi za mh. Nchimbi kwa tukio la mauaji ya Padre na uchomaji makanisa pale Zanzibar Mtu yoyote...
Wapendwa katika shamba la Bwana wetu Yesu Kristo, kila mwenye macho haambiwi tazama. Dalili zote za kuangamiza kanisa sasa ziko wazi!!
Wapendwa watumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo, kukaa kimya au...
Sijawahi kumsikia Pengo anazungumza kwa ukali hivi.
Katika tamko lake, pamoja na mambo mengine amelaumu udhaifu mkubwa ulioonyeshwa na serikali ya JK.
Anasema hata baada ya kuchoma makanisa...
Ndugu wanajamvi,huyu jamaa ambae ni makamu mwenyeketi wa CHADEMA taifa na ni mbunge wa Mpanda kati au mpanda mjini ila huyu hana alilofanya hapa jimboni kwake.Tangu awe mbunge, vijana wengi...
WanaJF
La mgambo limelia.CHADEMA imetangaza rasmi uchaguzi wake mkuu wa kuwapata viongozi wa chama kuanzia ngazi ya msingi hadi Taifa.Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba macho na masikio ya walio...
Nimesikitishwa sana kuona Watanzania wengi wamechotwa kirahisi mno na wanaojiita wanasiasa kujadili elimu ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika. Ukiangalia hapa JF, kule Facebook, Twitter na hata...
Marehemu padre Evarist Gabreli Mbilinga Mushi atazikwa huko Zanzibar jumatano hii, hii ni kwa mujibu wa ndugu na uongozi wa kanisa katoliki Zanzibar.
Padre Mushi ni mzaliwa wa Uru Mawela,kijiji...
Ndugu zangu Watanzania, I am serious on this. Hivi tumekaa na kutafakari kwa kina juu ya hali inayoendelea hapa nchini hivi sasa ya mauaji ya viongozi wa kikristo na uchomaji wa makanisa...
Wakuu,
Habari zilizotoka hivi punde ni kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Dr. Paul Mushi amepigwa chini kufuatia kashfa ya mitaala. Sasa nafasi ya Mkurungenzi inakaimiwa na Dr...
A bill forcing mobile phone operators to be listed at DSE passed
JIANG ALIPO, 29th January 2010 @ 10:45, Total Comments: 0, Hits: 171
The parliament has just passed a bill that will force...
Wanabodi,
Takribani miezi 4-6 sasa tumeshuhudia vijana "waasi" wa CHADEMA wa kundi la Masalia au PM7 wakipambana na uongozi wa juu wa chama hicho, kitu kilichopelekea baadhi yao kufukuzwa chamani...
Wednesday, 20 February 2013
Police officers assess the damage after a church was set on fire by unknown arsonists in Zanzibar yesterday. PHOTO | ELIAS MSUYA
By The Citizen Reporter
European...
Ninaangalia Star TV muda huu mwenyekiti CCM mkoa anatoa matokeo kwamba CCM imeshinda kwa kishindo wakati kua thread siku za nyuma ilisema CCM yagalagazwa, ebu mwenye uhakika na matokeo rasmi...
Ndugu zangu Watanzania na Wasiokuwa Watanzania...Nimelazimika kuleta uzi huu kuwasihi wananchi wenzangu ambao bado wanahisi kuwa ipo siku CCM itazinduka na kuwaletea maendeleo wanayo yakusudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.