Hiki kitu hakiwezekani kabisa, kwa maisha yetu watanzania, hata wale wenye ukwasi , ni ngumu sana kuchangia bilioni 100 kwa siku.
Labda kama mmekwapua fedha za wananchi hazina na mnatafuta namna...
Kazi ya makamo mwenyekiti badala ya mwenyekiti wetu Tundu Lissu ni kutuambia hatuna imani na majaji,mahakimu pia hatuna imani na serikali ya Samia.
Kisha tuambiwe hatima ya mwenyekiti unatuachia...
Definitely, hakuna aliyetarajia kuwa Spika wa zamani wa Bunge la JMT ndugu Job Ndugai angekufa kifo cha ghafla hivi....
Na ktk kipindi cha hivi karibuni hatukusikia kuwa anaumwa labda...
Kifo...
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo...
Hata Makongoro Nyerere alivyokwenda Vitani Uganda kulipigania taifa la Tanzania baba yake, mama yake yaani Rais Nyerere na mama Maria hawakujua hadi General Mti Mkavu Mayunga alipotuma Ujumbe wa...
Kuna kitu kimoja kama kisipotiliwa maanani ipo siku kama taifa tutapoteza uhuru wetu.
Leo biashara kila aina inamkono wa mchina ndani. Yaani wapo kwenye Kila bidhaa wapo sasa hivi wanashusha...
Nawasalimu salaam !
Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa .
utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la...
Je, hoja ya Martin Maranja Masese ina ukweli kiasi gani? Je, kama ina ukweli ina madhara au faida kwa kiwango gani? Je, ni nani mchochezi hapa? Je, ni Masese? Ni hao 'waliouza' mali au rasilimali...
Nimemsikiliza Polepole kwa umakini mkubwa inaonekana ameibua dhana ya CCM mtandao na Chadema Masalia yaani G 55 waliokimbilia Chaumma je kuna uhusiano wa dhana au narration hizi mbili polepole...
Ujasiri kwa Upinzani, Kimya kwa CCM
Jana, kupitia ukurasa wake wa Facebook, Balozi Humphrey Polepole alitoa maoni bila kupepesa macho kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwania tena urais na kuvunjwa...
Tangu alipochukua uongozi wa nchi baada ya mtangulizi wake kufariki, Rais Samia amekumbana na upinzani mwingi kutoka ndani na nje ya Chama chake.
Ndani ya Chama chake wapo ambao hawakutaka Samia...
Kelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo;
1. Je ni nani mwenye ushahidi...
Wanabodi,
This is very serious thing!
Nimekutana na chungwa ,tamu kama asali!,tatizo ni halina mbegu hata moja!。
Je chungwa hili linaweza kuwa ni linalotokana na Genetically Modified...
Wafuasi wa mgombea wa nafasi ya Urais wa Chama Cha UMD wakimsindikiza mgombea wao Mwajuma Mirambo akiwa na mgombea mwenza Mashavu Alawi Haji kuingia ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)...
Wanadunda tu mtaani
Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge
Wanalindwa na CCM
Wanakula CCM
Wanalala CCM
Wanaishi ndani ya CCM
Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.