RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo.
Jiwe la msingi la ujenzi wa...
Ndipo JK akautangazia Umma kwamba Urais wake hauna Ubia na Mtu yoyote
Rostam Aziz akasema Anaachana na Siasa Uchwara akajiuzulu Ubunge
Samwel Sitta naye akalia akisema “ nimeambiwa 2010 ni zamu...
Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu...
Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu...
Hamjambo!
Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na...
Polepole amekubali na ameanza kwa kumtaka Wakili Msando aeleze kwanza Sifa 5 za Mwanaccm na Imani ya mwanachama
Msando anasubiriwa ajibu
Ahsanteni sana
Nawatakia Dominica njema 😄🙏
Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita wameeleza kusikitishwa kwao na namna mchakato wa kura za maoni za kupata wagombea ubunge na madiwani...
Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe...
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, ni watanzania TU tunapuuzia kila kitu paspo na sababu.
Samia ni lini alichukua fomu kuomba ridhaa ya chama kimteue kugombea uraisi wa Tanzania? Kwenye mafaili ya...
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote Duniani hii hapa.
===================
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la...
Salum Mwalimu kama alishindwa kuupata urais wa chuo cha IFm anaweza kushindana na Samia?
Si bora wangamlushawishi mbwana Samata awe mgombea kupitia CHAUMA? Kwani Gorge Weah alikuwa mwanasoka wa...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua...
Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge...
Kulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa;
"Vyama vinavyopata ruzuku ni vile vilivyopata angalau asilimia tano ya kura zote halali zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu na vyama vyenye Wabunge au...
MAELFU YA GENERATION SAMIA WAMHAKIKISHIA SAMIA KIMBUNGA CHA USHINDI
Mandhari ya Dodoma leo yamewaka moto wa shangwe na hamasa baada ya maelfu ya vijana wa Generation Samia kujitokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.