Kila likiisha jambo linakuja lingine,
Kwa habari zilizopo ni kwamba kunaandaliwa utaratibu maalumu wa kuwa na watu maalumu kwa ajili ya tenda mbali mbali kwa sekta zote, hospitali, shule, na...
Habari makamarada.
Jana nimemsikia spika wa Bunge bibi Tulia mwansasu katika Ibada ya mazishi ya aliyekuwa spika comrade Job ndugai akimuhakikishia Rais Samia kuwa eti waliopo upande wake ni wengi...
Mimi **** naahidi nitalitumikia baraza la mawaziri na naahidi sitatoa siri za baraza la mawaziri,
Maneno hayo husikika wakati wa kuapa, lakini walio wengi huwa wanayapuuza bili kuyatafakari kwa...
Kikao cha watu saba baada ya Magufuli kutoweka duniani kilikuwa na maazimio yafuatayo
1. Bashiru pamoja ná wenzake wasichukuliwe hatua haraka maana wangezalisha bomu la wanaojua serikali in and...
Wengi mnaweza kudhani ni Wenje pekee ndiye msanii sanii kwenye kile Chama jambo ambalo si kweli kabisa.
Yupo mdau mwenzake kwenye uga huo al-maarufu kwa majina Joseph Mbilinya a.k.a Sugu. Mwamba...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kyela wanasema"Mh Paul Mwakajumba kwa LISTI HII ,atashinda kura za MAONI asubuhi na MAPEMA kabisa"!
Mh Paul Mwakajumba ni jina maarufu sana kwa Wajumbe wa...
Mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, ambaye pia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Fatma Mganga, amekanusha vikali barua inayosambaa mitandaoni ikidai amejiuzulu.
Amesema barua...
Kuna majimbo kadhaa yatatokewa kama zawadi kwa vyama shikizi ili kuhalalisha uchaguzi wa 2025.
Je wagombe wa CCM kwenye hayo majimbo wanajijua kuwa watatolewa kafara.
Tuwatonye mapema ili...
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,
Nimemsikia...
BAADA ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika Agosti 4,2025 nimejipa jukumu la kuzungumza na baadhi ya wagombea ambao wapo tayari.
Mmoja wa wagombea niliyezungumza naye...
Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha...
Saumu Rashid amepitishwa na mkutano mkuu kuwa mgombea wa urais baada ya kupigiwa kura za ndiyo na wajumbe 376 kati ya 390 katika mkutano wa chama hicho
Saumu ambaye ni Katibu Mkuu wa UDP...
Naomba Familia ya Mzee Cheyo imzuie Ndugu yao kuangaika na mambo ya siasa ambayo hayana tija kwake.
Namshauri apambanie Afya yake kwanza.
Itakuwa aibu mzee wao kupata madhara na kumsababishia...
Lisemwalo lipo na kama halipo laja , huu ni msemo tuliyousikia tangu enzi na enzi.
Kutokana na yanayoendelea mitaani na mitandaoni inaonyesha kuwa nyuma ya CHAUMMA kuna Mbowe , anyway zinaweza...
Bila shaka wewe na mimi tumekuwa ni sehemu ya Ushuhuda wa Kauli mbali mbali za Viongozi wa Chama Wakijinasibu kuwa Chama Chetu ni Chama Tajiri na Chenye Wanachama Wengi.
Halikadhalika...
Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu anaingia madarakani mwaka 2021 sekta ya utalii ilikuwa inapitia katika mazingira magumu kutokana sababu mbalimbali ikiwemo athari ya UVIKO 19
Mapato ya utalii...
Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka.
Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani...
Hayo yamedhihirika baada ya Kenya kukumbwa na Vurugu kwenye michezo ya CHAN
CAF inafikiria kuhamishia mechi Tanzania endapo Kenya haitajirekebisha haraka
Ahsanteni sana CCM
Credit: Citizen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.