Mama ni kisiki cha Msingi. Kila aliyejaribu ameanguka. Twasubiria uwanjani msikimbize timu

Mama ni kisiki cha Msingi. Kila aliyejaribu ameanguka. Twasubiria uwanjani msikimbize timu

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,140
Reaction score
2,014
Walileta Wachungaji tumewatuliza kama Gaucho minjino atulizavyo mpira.
Wakaleta NRNE ya kina Lisu tukawapa joker wakalilamba. Wameleta wazungu pori tumewalisha ugwadu. Heheee!
Wakamleta Askofu bao la baunsa ametoroka kusokojulikana. Ati wanamtegemea Poyepoye! Hasa! Poye yao. Na bado!
Keyboard warriors wao hatunatabu nao tunajua njaa zawasumbua.
 
CCM VS CCM B VS CCM C

(mwenye akili timamu na uelewa hawezi kupoteza muda wake na kupiga kura)

ova
 
""Mnakoenda ndiko alipotoka""
Wazee wa moshi,na matunguri msijisumbue, kiumbe mzito,ukijaribu unaondoka wewe"
""Wajinga ndilo kimbilio lao,msijaribu""
""Huwezi ishinda kudura,kudura ni rehma za maulana mwenyewe,na kisicho rizki hakiliki,mtajisumbua bure,alilopanga mola hakuna wa kulitengua habadani maneno maneno mnenee pweza bomadamu huta muweza katu🪓🪓🪓
#mzaramo miye ngoja niende ngomani!,nikacheze mdundiko🤼🤼🤼
 
Katika machawa woote wa samia na wana mtandao nakukubali wewe tu. Uandishi wako maneno yako na ujumbe wako havina hata chembe ya unafiki.
Some time huwa zikipita siku mbili hujapost naona kama jikon ubuyu bado unapikwa na sisi tunausubiri.

Ni kweli kabisa samia anacheza karata zake vizuri. Lakini kama kweli samia anajiamini akubali reforms na amtoe lisu gerezani ashindane na mpinzani wa kweli sio hivyo vyama vya maelekezo.
Samia ana kila kitu ana pesa ana jeshi ana mahusiano mazuri na mataifa ana bunge ana mahakama ana tume ya uchaguzi nk. Ana chama kikubwa tawala miaka yote kwa nini asiruhusu demokrasia japo kipindi hiki tu cha uchaguzi awaache chadema wafanye siasa zao uchaguzi ukiisha kila mtu atulie tupige kazi mpaka uchaguzi ujao?
Kuna haja gani ya kuua watu wasio na hatia kuwateka kuwapiga na kuwafunga kwa uonevu?
Kumbuka 4r za samia.
 
Kwa upande mwingine nimpongeze samia na timu yake. Haikuwa kazi rahisi maana naona kwamba samia alikuwa na upinzani wa pande mbili. Moja katika chama chake
Pili kutoka chadema.
Kazi iendelee
 
Mama hakika ni komandoo. Sikutegemea awashinde midume takribani milioni 32 kirahisi namna hii.
 
Walileta Wachungaji tumewatuliza kama Gaucho minjino atulizavyo mpira.
Wakaleta NRNE ya kina Lisu tukawapa joker wakalilamba. Wameleta wazungu pori tumewalisha ugwadu. Heheee!
Wakamleta Askofu bao la baunsa ametoroka kusokojulikana. Ati wanamtegemea Poyepoye! Hasa! Poye yao. Na bado!
Keyboard warriors wao hatunatabu nao tunajua njaa zawasumbua.
Hii nimeipenda upewe maua yako. Kwl keyboard warriors wengi wana sonona
 
Back
Top Bottom