Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siasa sio mchezo mchafu ila wanasiasa ndio wachafu, dhahabu kuipakaza matope haipotezi thamani yake ila itakua na muonekano mbaya. Mnamkumbuka huyu mzee Deo Sanga, mbunge wa jimbo la Makambako...
2 Reactions
5 Replies
616 Views
1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. 2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo kifuatacho...
15 Reactions
49 Replies
6K Views
Leo nimeona Clip ya Cyprian Musiba akilalamika kuhusu kura za maoni ndani ya CCM. Kura hizo za maoni CCM zimefuta kabisa yale majigambo ya chama hicho kuwa kina uadilifu kwenye kusimamia changuzi...
1 Reactions
6 Replies
749 Views
Hellow! Ukiwa nje huko kwenye mamlaka kuna aina Fulani ya hofu na usalama, lakini ukishavua tu suit na kuvaa jezi ya chama, utaonekana sawa nao, Na ni kweli, ndani ya chama na Katika majukwaa...
1 Reactions
4 Replies
426 Views
Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi! Sababu ziko wazi kabisa 1. Wananchi wameelimika zaidi 2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai Aidha Tulia...
5 Reactions
125 Replies
7K Views
Wakuu tufuatilie hii live inaendelea sasa Mgeni Rasmi akiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango https://www.youtube.com/live/Gt5cxeNI90U?si=IYfVYZ27diQ2bosr Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Ni utamaduni wa CCM Tuliona kwa Kombani, Mgimwa, Kolimba, Kigoda nk…..nk Ahsanteni sana
3 Reactions
10 Replies
625 Views
Serikali ya awamu ya sita imetoa kiasi cha TZS492bn kupitia TANESCO na REA Mkoani Shinyanga kwa ajili ya miradi mbalimbali ya Umeme. Katika kipindi cha miaka minne ya Raisi Samia Serikali kupitia...
3 Reactions
9 Replies
668 Views
Rais anao wasaidizi waliosomea fani za Idara au Kitengo husika. Katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu japo Kampeni hazijaanza rasmi kwa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, lakini ukweli ni...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Nyuma ya mziki wa Singeli au mchiriku tunaitafuta na kuipata meseji kubwa sana ya kisiasa mwaka huu. Yaani yupo chiriku aliyelishwa maneno na kuanza kuyaongea (kulonga) huku akijitikisa...
2 Reactions
21 Replies
762 Views
== Akiongea na Wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anasema, Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Kada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka...
30 Reactions
97 Replies
6K Views
Mkoani Mwanza, Rais Samia ameongeza TZS6bn kwenye dawa, Digital Ex-Ray 24 kutoka 2, Ultrasound 43 kutoka 2, MRI 3 na CT Scan 3 kutoka 1 na Wananchi 300,000 wapya wajiunga na iCHF ndani ya miaka...
11 Reactions
68 Replies
2K Views
Wakuu Kwenye maadhimisho ya sikukuu ya NaneNane leo Wizara ya Kilimo na Ufugaji ambayo inaongozwa na Hussein Badshe imemgaia Rais Samia tuzo
2 Reactions
10 Replies
366 Views
Mbunge machachari kutoka singida ambaye mwaka Jana alifanyiwa unyama na watu wasiojulikana tunaendelea kukuombea upone Nina machungu sana kuyaandika haya, maana kama binadamu anachanwa tu na...
3 Reactions
99 Replies
9K Views
SIASA SAFI ndio mhimili mkuu katika Taifa kwa sababu siasa safi hujenga umoja, mshikamano, amani, usawa utulivu na uzalendo baina ya mtu na katika Taifa. Taifa lisilokuwa na siasa safi ni taifa...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
MAELEZO YA ZITTO KABWE NA MAJIBU YAKE KWA MUSTAKABALI WA AMANI NA USALAMA WA TAIFA LETU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 Hoja ya Zitto (Zitto Kabwe anaonyesha mshangao wa hali ya juu na hasira ya...
0 Reactions
5 Replies
646 Views
Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu. Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende...
61 Reactions
161 Replies
9K Views
Ndugu zangu Watanzania, Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom