Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 336
- 1,956
Wanadunda tu mtaani
Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge
Wanalindwa na CCM
Wanakula CCM
Wanalala CCM
Wanaishi ndani ya CCM
Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa kesi why ?
Lissu alifanya Nini special mpaka kupewa kesi? What's wrong with Samia ?
Samia Kama kweli Hawa ni wapinzania wako wakamate waweke ndani ?
Gwajima na Polepole wote wapo wilaya ya kinondoni Dar es salaam
Kama huwakamati nitajilidhisha unashirikiana nao.