Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Swali hili kauliza Hancy Machemba huko tweeter. Nimepitia responses karibu zote. Wanasema ni maagizo! Mmoja kasema jibu liko wenye series ya Kikorea iitwayo Bad Prosecutor jibu liko humo...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wao kama chama hawajaridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu mashahidi wa siri dhidi ya kesi ya Tundu Lissu. Kuhusu maamuzi, soma Mahakama...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Niliwahi Wauliza , Haya Matendo yenu ambayo ndio njia mloichagua , Hayatawahukumu huko mbele Kwa namna ambavyo mmezalisha MAISHA YA KISASI Kwa Manufaa yenu tu ?. Uongozi na Mali, huja na...
2 Reactions
0 Replies
195 Views
Kwema Wakuu! Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake. Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu. Yaani Mabeki...
61 Reactions
180 Replies
8K Views
Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amefichua kuwa aliwahi kushika nafasi ya mshauri wa juu wa viongozi wawili wa Afrika: Rais wa zamani wa Zambia...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
WanaCCM wote, Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya...
6 Reactions
84 Replies
3K Views
Wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya, inakabiliwa na tatizo kubwa la umeme wa kiwango cha chini (low voltage) wakati wa mchana. Tatizo hili limekuwa sugu kwa zaidi ya miezi sita, na Tanesco...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo...
11 Reactions
139 Replies
15K Views
Wakuu, Huyu baba leo kajua kujisafisha msikilizeni hapo anavyojipakulia minyama Salum Mwalimu anasema yeye ni msafi na chama chake CHAUMMA ni kisafi
2 Reactions
7 Replies
581 Views
Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana. At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira...
23 Reactions
81 Replies
3K Views
ONYO; Tutumie lugha safi na ukweli. Ni jambo la msingi sana kufahamu kwa undani historia ya kiongozi mkuu yeyote tena kabla hamjampatia uongozi wa juu kabisa wa Nchi au chombo chochote chenye...
20 Reactions
253 Replies
40K Views
Haiwezekani Rais Samia kupata watu wa kumsadia waliopatikana tu kwa rushwa, ukaribu na kujuana. Haiwezekani kuwe na viongozi wa nyumba kumi, serikali ya mtaa, Kijiji, kata, tarafa na wilaya ambao...
1 Reactions
12 Replies
483 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti...
3 Reactions
13 Replies
895 Views
Tanzania tuna wapinzani wasio na hoja ambazo zinamgusa mwananchi moja kwa moja. Wapinzani wetu wanaroho za chuki, wivu, uongo, upotoshaji, uzandaki wanafanya siasa Kama wanasengenyana wapinzani...
0 Reactions
4 Replies
264 Views
Wakuu Nimekutana na clip hii ya Baba Levo akiwa ameulizwa maswali mepesi kabisa na huyu comedian anaitwa Kipotoshi. Hii interview ina miaka takribani minne lakini it is very relevant hata sasa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Sote tunakumbuka kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru kumekuwa na ukuaji mkubwa wa siasa za upinzani. Hali hiyo ya ukuaji imeanza tangu uchaguzi wa mwaka 1958,tukazuia vyama vingi lkn bado ndani ya...
0 Reactions
42 Replies
2K Views
Buchosa imeitika! Sikiliza wananchi mbalimbali wanavyotoa maoni yao kuhusu kazi zilizofanywa na mbunge aliyemaliza muda wake na mshindi wa kura za maoni za kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa mara ya...
2 Reactions
0 Replies
243 Views
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia...
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba wakati wa kutambulisha...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom