Copyright: The Guardian, 15th March, 2012
Following the BAE Systems scandal regarding its radars deal with the Tanzanian government, the defence company has finally reached an agreement with the...
Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika
Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika, amemuweka katika wakati mgumu Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, baada ya kutoa hadharani namba ya simu ya...
Ndg makamanda,
Katika kile kinachoonesha kama maji kufika shingoni kwa serikali ya rais Kikwete kutokana na kupuuza ushauri unaokuwa unatolewa na wataalamu mbalimbali hapa nchini,
Kumekuwa na...
Habari kamanda, nakupa taarifa ya mkutano wa hadhara j2 tar.24 kata ya Makumbusho, katika uwanja ambao upo mbele mbele kidogo ya shule ya msingi Mwananyamala B, au karibu na kituo cha Royal...
Ipo shule moja hapa Bukoba mjini, eneo la Nshambya, barabara ya Kashozi, ambayo mwenendo wake umekuwa ukiwatia mashaka wakazi wengi wa mji huu, wenye mapenzi na nchi hii.
Chanzo cha wasiwasi...
PROSPECTS of the country earning more from gas will likely come true by 2020/21 as more companies are undertaking appraisals on the exact quantity of gas deposits found in the country and...
Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA limesema kila mwaka mfumo wa elimu ya Tanzania wa kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne peke yake unazalisha wajinga waliosoma takribani 800,000 kwenye...
Ndugu wanabodi.
Juzi kijana huyu mjumbe wa UVCCM TAIFA NA KATIBU WA CCM UDOM, Alitoa kauli ya kumwita Heche ni Mnafki na msaliti alipokuwa akizungumza na Redio Mwangaza fm.
Alisema kitendo cha...
na Josephat Isango
UJENZI wa mji mpya wa Kigamboni huenda ukakwama baada ya wananchi kudai kuwa serikali imekuwa ikikiuka sheria na mambo ya msingi, ikiwemo ushirikishwaji katika zoezi hilo...
NEWS
By JOSEPH MWAMUNYANGE Special Correspondent
Posted Saturday, February 16 2013 at 18:08
IN SUMMARY
Investigators recovered the container at one of the depots, just as it was about to...
Hapa tulipofika hatukufika kwa bahati mbaya; tumefikishwa kutokana na maamuzi, maono na utendaji wa viongozi mbalimbali kwenye serikali yetu. Iwe kwenye masuala ya amani na ulinzi au masuala ya...
Wiki kama mbili hivi zilizopita Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba alipelekewa hati ya kuitwa Mahakamani. Mkurugenzi alikuwa amefunguliwa kesi na Madiwani wakishirikiana na Mbunge kwa kosa la...
Katika kipindi cha This week in perspective cha ijumaa iliyopita. kulikuwa na mjadala juu ya machafuko yanayotokea nchini kujua chanzo, na nini cha kufanya. washiriki walikuwa Dr Kitine, Dr Bana...
Baaada ya kamanda Alphonce Mawazo na timu yake kuwasili katika kisiwa cha Iyumbo,kilichopo katika jimbo la Muleba kaskazini mkoani Kagera na kupiga mkutano mkubwa ukiambatana na maandamano makubwa...
Natamani, bunge lijalo liwe na maada tatu tu; na zijadiliwe na kufikiwa Muafaka;
1. Elimu yetu- Kuanzia nursery mpaka elimu ya juu
2. Upatikanaji wa nishati ya umeme
3. Mikataba na namna...
Katika moja ya sababu za msingi ambazo hazijatajwa kuchangia mporomoko wa elimu ni hili la walimu wa vodafasta.
Tukiamua kuanisha kiwango cha ufaulu wa walimu wanaotufundishia vijana wetu tutaona...
Nashangaa baadhi ya watu kuleta vituhuma vya ajabu hasa skendo dhidi ya viongozi wa upinzani hasa hasa wa CDM.......na kuweka kauzibe ili watu hao wasiwe viongozi wakuu wa Taifa hili...
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.
Katika mazungumzo yake na waandishi wa...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512,2116898
E-mail:ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT'S...
Wanajukwaa, heshima kwenu.
kwanza niwape pole wote walioathirika moja kwa moja na tukio la vurugu na ugomvi wa tofauti za kidini kuhusu kuchinja huko geita.
Familia yangu ina mchanganyiko wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.