jiji la dar ni miongoni mwa majiji machafu na yenye miundominu feki duniani..ni miongoni mwa majiji yenye mazingira mabaya, milipuko ya magonjwa na misongamano isiyo na tija je kuendelea kuweka...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema ipo katika hatua za mwisho za uchunguzi wa tuhuma dhidi ya aliyekuwa Katika Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni, na...
PLEASE!!!!! NATUMIA HERUFI KUBWA KWA MSISTIZO. WANAJAMVI NASIKITISHWA SANA NA VITENDO VYA BAADHI YETU KUMCHUKIA KUPITA MIPAKA HUYU MTOTO WA WATU, KWANI ALIWATENDEA NINI HADI KUMCHUKIA KWA KIASI...
Katika Taarifa ya Habari ya Saa 2.00 akiwa katika kikao cha wadau wa elimu nimemsikia akisema kuwa kufeli kwa wanafunzi kumesababishwa na Serikali kutosikiliza matatizo ya Walimu na hivyo...
Serikali ya CCM imewafanya watanzania wawe sugu. Kwa muda mrefu, CCM imewatumia polisi kukandamiza haki za raia. Raia wamekuwa sugu sasa baada ya kuchoka kunyimwa na kuporwa haki zao mfano, usugu...
Katika kile kinachoonekana kukwama kwa mpango wa awali wa kuivuruga CHADEMA makada wawili wa chama hicho Habibu Mchange na Juliana Shonza wanatarajiwa kujiunga na CCM ikiwa ni sehemu ya...
Suala la shule za kata lilikuwa la mh. Ngoyai Lowasa. lengo lake lilikuwa thabiti, lakini kwa kuwa halikuwa mooyoni mwa watendaji wengine liliterekezwa. kufeli kwa kidato cha nne kwa asilimia...
JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
__________
TAARIFA MAALUM KUHUSU BUNGE NA KAMATI
______________
Ofisi ya Bunge imepokea kwa masikitiko taarifa kuhusu tafsiri ya...
Nipo wilayani masasi mkoa wa Mtwara,inasikitisha sana kuona watu ambao hawahusiki kabisa na vurugu wanaendelea kushikiriwa na polisi lakini baadhi ya wahusika walioshiriki kwenye vurugu wanaachiwa...
Katika hali ya kushangaza, sakata la vurugu za Masasi limegeuka kuwa la kisiasa na viongozi wa CHADEMA ndio target. Muda si mrefu uliopita katibu wa CHADEMA wilaya Ndugu Mlaponi amekamatwa kwa...
Wana Jf kilio chetu ni ukosefu wa mitaala ya elimu na ubovu wa waziri husika ambae kila wizara anavurunda,ifike wakati kuwajibika bila shinikino,shuleni siku hizi wanatumia reviews za...
Ndugu wanabodi kulingana na taarifa toka Star tv, ifikapo saa moja na nusu Nape Nnauye ambaye yuko mkoani Mwanza anatarajia kuingia studio za Star tv kuelezea sera za CCM na utekelezaji wake...
Na George Ramadhan|21st February 2013
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema sera mpya ya majimbo itakiwezesha chama hicho kushika dola na kuongoza...
Hatimaye yule Yuda Eskalioti (Eddo Mwamalala) aliewahi kuwa katibu wa mkoa Mbeya (CHADEMA) baadae akafukuzwa na kuhamia NCCR Mageuzi leo aliandaa mkutano hapa Mbeya Mjini maeneo ya shule ya...
Leo muda huu katika viwanja vya Mwanga , alimaarufu Rage ground , pamefanyika mkutano mkubwa wa hadhara na wananchi wengi wamejiunga na chama .
Picha kufuata na maelezo zaidi juu ya yaliyojiri...
Alhamisi, Februari 21, 2013 07:36 Na Mwandishi Wetu
TANZANIA itakosa matrilioni ya fedha za uwekezaji kutokana na vurugu za hivi karibuni zilizotokea mkoani Mtwara, RAI imebaini. Vurugu hizo...
The Consumers Federation of TANZANIA need to open CASE urgency seeking orders to prevent government from effecting the switch-off.
The notice for consumers to acquire the set-top boxes was...
MATUMIZI ya vingamuzi yanavunja Katiba. Haya ni maelezo ya wadau mbalimbali katika semina ya Jinsia na Maendeleo (GDSS) iliyofanyika hivi karibuni kwenye Viwanja vya Mtandao wa Jinsia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.