Serikali ilishabaini kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana. Inapotokea jambo, wananchi wataongea na watalalamika sana baada ya hapo watasahau baada ya muda mfupi. Cha kushangaza ni pale ambapo hata...
Imekuwa kawaida kwa viongozi wa CCM 'kuwaagiza' viongozi wa Serikali mahali wanapotembelea. Utamsikia Nape Nnauye,Abdurahman Kinana Mwigulu Nchemba na wengineo wakisema : ' Naiagiza...
Kwa kile kinachoonekana kuishiwa dira,sera na hoja kwa Mwigulu Nchemba na chama chake CCM wiki jana aligawa pesa kama njugu kwenye baadhi ya vijiji jimboni Iramba.
Akiwa kwenye ziara jimboni...
Problems are piling up on Fly540 Tanzania which has been rebranded to FastJet, as the Tanzania Revenue Authority (TRA) is demanding unpaid taxes amounting to 2.8 bn/-.
The TRA claim comes...
Refer
Juzi mbunge wa Monduli alifanya press conference akizungumzia mambo mengi but specific asked mr president aunde tume to investigate form four results. Specific and Open request.
Meaning...
Katika taarifa ya habari jana saa 2.00 ITV nilimshuhudia na kumsikia Mwenyekiti wa TUGHE wilaya ya Geita akitoa maelezo kuwa Mganga Mkuu(W) DMO kuwa ametumia fedha za Idara kujengea duka la dawa...
Habari zenu wanajamvi,
Mimi nimejiunga hivi karibuni na CHADEMA naomba msaada toka kwa wanachama wa CHADEMA kama wapo humu katika masuala yafuatayo:
a) Nijulisheni zilipo ofisi za CHADEMA kwa...
LEO NI SIKU YA KUTAMBUA MBIVU NA MBICHI ZA HATIMA YA AJIRA YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MUSOMA MJINI AHMED SAWA KWA KUWA KIKAO CHA KUMNG'OA KAZINI KIMEANZA HIVI PUNDE. (kwa taarifa: halmashauri...
Waungwana jambo?.
Nipo visiwa vya Jimbo la Muleba Kaskazini mkoa wa Kagera. Ama kweli nimeamini kwamba CHADEMA ni chama kinachoelekea kushika dola 2015. Mamia ya wakazi wa visiwa vya Muleba...
Kamanda TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU Mbuge wa Jimbo la Singida Mashariki kwa kupitia CHADEMA akiongozana na wapenda MABADILIKO kutoka Mkoa wa Singida na Wilaya zake watahutubia wananchi wa Jimbo la...
Habari kutoka ILEMELA zinasema kuwa BAVICHA wamejipanga kusafisha wasaliti wote ndani ya baraza na chama kwa ujumla. Wa kwanza kushughulikiwa ni Mwenyekiti wa BAVICHA wa Wilaya SABINI RICHARD...
MADIWANI wa mji wa Kigamboni wamemtaka mbunge wa jimbo hilo, Faustine Ndugulile, kuomba radhi kutokana na kauli yake kuwa hawajui kitu kinachoendelea katika uanzishaji wa mji mpya wa Kigamboni...
Habari za kuaminika kutoka kwa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa M4C kanda ya Nyanda za juu Kusini zinasema alhamis trh 28 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe atatua Mbeya kuanza vuguvugu hilo...
Source ITV
Polisi visiwani Zanzibar inedai hakuna vikosi vyovyote vilivyoingia Zanzibar kuchunguza kifo cha Padri na hakuna watu waliokamatwa kwa mauwaji ila ni watu wachache walikamatwa kwa...
Mimi kama mdau wa Elimu na Mtanzania mwenye uchungu na nchi hii nimesikitishwa sana na matokeo ya mitihani ya Kidato cha nne(F4)mwaka 2012 yaliyotangazwa mwaka huu na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya...
Nipo kwenye mkutano wa hadhara hapa mwananyamala!makamanda wanaungurumisha wakiongozwa na mh. Jj Mnyika!diwani wa kata ya Saranga ametoa taarifa kwamba shule za manispaa ya kinondoni zipatazo kumi...
Inasemekana kuwa katika mikoa yote tuliyokuwa nayo Iringa,Njombe,Songea,na sumbawanga ndiko kwenye viongozi wa nyadhifa kubwa Waliopewa uongozi wa juu ndio wanaoongoza kwa kutuangusha wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.