Na Thobias Mwanakatwe
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema Watanzania wasikubali Taifa likagawanywa kwa misingi ya udini na ukabila...
Kama kuna jambo ambalo litaamua Hatima ya siasa za Tanzania kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2015 ni Ufisadi. Kupambana au kuunga mkono Ufisadi ndiyo itakuwa ni kete turufu ya mtu kupata kura au kupoteza...
na Danson Kaijage, Dodoma
ASKOFU wa Kanisa la PAG, Charles Kanyika, ameikosoa serikali kwa kusema kuwa kuundwa kwa tume ya kuchunguza chanzo cha wanafunzi wa kidato cha nne kushindwa kufaulu...
HABIBU MCHANGE aka Mdude ambaye pia alikuwa kiongozi mkuu wa kikundi haramu cha MASALIA aka PM7 yuko njiapanda kuhusu hatma yake ya kisiasa.
Tangu kundi hili liliposambaratishwa (mwezi desemba...
Kwa mara nyingine Chama Cha Mapinduzi (SISIEMU) kimepigwa chali katika kesi ya kupinga ushindi wa Meshack Opulukwa (mbunge wa Meatu-CHADEMA).
Katika kesi hiyo majaji 3 Catherine Urio, Edward...
IJUMAA, FEBRUARI 15, 2013 04:53 KULWA KAREDIA NA ARODIA PETER
JUMLA ya wabunge 47 kutoka vyama CCM, Chadema na NCCR-Mageuzi, wamekubali kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kwa ajili ya...
Waziri mkuu aliejiuzulu Mh. Edward Lowassa, amemtaka rais Kikwete aunde tume kuchunguza kilichopelekea matokeo mabaya ya form IV mwaka huu. Amesema tume itasaidia kubaini ni nini chanzo cha...
Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Edson Kamukara anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu asubuhi mpaka muda huu.
Taarifa kutoka ndani ya jeshi la polisi hazijaweka bayana kosa la Mhariri huyo...
SUNDAY, FEBRUARY 24, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na maafisa mbalimbali wa ubalozi wa Tanzania Nchini Ethiopia katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa leo...
Diwani wa Miyomboni Kitanzini, Jesca Msambatavangu ambaye pia mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa akutana na wahitimu wa kidato cha nne waliofeli na kuwaia moyo kwa kuja na kauli mbiu ya TUMAINI...
Na Thobias Mwanakatwe
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa , Peter Kuga Mziray
Vurugu za wabunge zilizotokea wakati wa kikao cha 10 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hatimaye...
MONDAY, FEBRUARY 25, 2013
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu 13, wakiwemo askari wawili wa Jeshi la wananchi (JWTZ) na polisi mmoja kwa matukio ya mauaji na unyang'anyi wa kutumia...
Makapa aliacha makusanyo ya kodi kwa mwezi chini ya billioni 300 kwa mwezi. Kwa sasa wananchi wanalipa TRA kwa mwezi 1 trilioni TSH kama revenue na kuingizwa hazina. Fedha hii inakwenda wapi? Hii...
Naibu wa waziri, mwenye dhamana ya elimu nchini, amedai kuwa ili kuinusuru sekta ya elimu nchini, kufuatia anguko kubwa la wanafunzi mwaka huu.
Waziri amesema wizara yake, inafikiria kurudisha...
RAI YA JENERALI
Jenerali Ulimwengu
Toleo la 282
20 Feb 2013
NIMEELEZA kwamba elimu ndicho kiungo kinachowaunganisha wanajamii waliopo leo na pia ni kiungo kinachowaunganisha wanajamii waliopo...
Wadau ule mzimu wa Mtaala leo unaongelewa ndani ya Star TV. Kamishna wa Elimu yuko Star TV
anaongea kuhusu maana ya mtaala, wenye muda fuatilieni, je atakidhi kiu ya Mbatia?
Stay tuned
Kwa sasa Mhe. Mnyika, Mbunge wa Ubungo ndo kaingia sasa, na msafara wake wote wanatumia magari aina ya Vitz. Ben saa8 yupo hapa kwa ajili ya kuondoa sumu ya masalia (Mwampamba na Shonza)...
Wizara ya Elimu na Utamaduni kuanzia awamu ya Mkapa imekumbwa na kashifa kibao. Kubwa kati ya kashifa hizo ni pamoja na eti. Mh. Joseph Mungai hakuwahi kufaulu mitihani yake ya sekondari...
Ndugu zangu Tanzania sasa ni miaka 50 imepita tokea uhuru je tunajua wapi tulipotoka kisiasa, wapi tulipo na wapi tunaelekea kisiasa? Na kwanini siasa zetu zinabadilika. je zinabadilishwa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.