Kimboka
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 353
- 163
Ndg makamanda,
Katika kile kinachoonesha kama maji kufika shingoni kwa serikali ya rais Kikwete kutokana na kupuuza ushauri unaokuwa unatolewa na wataalamu mbalimbali hapa nchini,
Kumekuwa na wataalamu wengi hapa nchini ambao wamekuwa wanatoa ushauri wa kitaalamu kwa serikali ya rais Kikwete lakini ukaishia kupuuzwa,tumeona wataalamu kama Dr. Kitila Mkumbo akitoa ushauri kuhusu masuala ya elimu hapa nchini pia tumemwona prof. Issa Shivji akitoa ushauri kuhusu mambo ya kisheria na katiba pia kuna akina dr. Benson Bana,
Napenda kuelezea USHAURI ALIOWAHI KUTOA KITILA MKUMBO KUWA KUCHEZEA WALIMU NI KUCHEZEA ELIMU LAKINI SERIKALI IKAPUUZA NA KUTELEKEZA MADAI YAO AMBAYO KIMSINGI YANA TIJA KATIKA KUONGEZA UBORA WA ELIMU HAPA NCHINI,KITILA MKUMBO ALIZUNGUMZIA MENGI LAKINI ALISISITIZA ZAIDI SERIKALI KUTEKELEZA MADAI YA WALIMU NA KUACHA KUWAPA VITISHO WALIMU AMBAO NDIO WAMEWAFIKISHA HAPO WALIPO SASA AKINA KAWAMBWA,MULUGO,JK NA WENZAO
KILICHOTOKEA SASA KTK MATOKEO YA FORM FOUR NI UPUUZAJI WA USHAURI UNAOTOLEWA NA WATU MBALIMBALI HUSUSANI WATAALAMU KAMA KITILA MKUMBO,hivyo napenda kutoa rai kwa serikali kuwa KUCHEZEA WALIMU NI KUCHEZEA ELIMU.
PIA NAPENDA KUWA ONYA WABUNGE AMBAO WANAFAHAMU KUWA HAWANA MCHANGO WOWOTE KTK MAENDELEO YA TAIFA ILA KTK KULINDA MATUMBO YA MABOSI WAO NI BORA WAKAACHIA MAJIMBO ILI TUWAPE WATAALAMU AMBAO TAALUMA ZAO ZINA MSAADA KTK TAIFA HATA BILA WENYEWE KUJITANGAZA KUWA WANA PHD AU MASTERS,PIA NAPENDA KUTOA RAI KWA MWIGULU NCHEMBA KUACHA KUWAZA TENA KURUDI BUNGENI KWA KUWA ELIMU YAKE NI USELESS NA AMWACHIE KITILA MKUMBO AMBAE ELIMU YAKE INA MASLAI KWA TAIFA NA YEYE AKABAKI KUWA KIONGOZI NDANI YA CHAMA CHAKE KAMA MWENZIE NAPE AMBAE WANA KAZI YA KULINDA MATUMBO YA MABOSI WAO YASIPASULIWE BILA GANZI.
Nawasiliswa.