Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
TAMKO LA MTELA MWAMPAMBA KUFUATIA MAJIBU YA DR SLAA KUHUSU TUHUMA ZA UFISADI WA MILIONI 140 ZA CHAMA CHA CHADEMA JANUARI 04, 2013. Kwanza niwashukuru wana habari kwa kutenga muda wenu kuja...
2 Reactions
360 Replies
22K Views
Kamishna wa Polisi Zanzibar Musa Ali Musa ametoa kauli ya kujibu waraka uliotolewa na Kaldinali Pengo kuhusu Uamsho kuhusika na mauaji ya Padre Mushi. Kamishna huyo wa Polisi amesema kipeperushi...
1 Reactions
191 Replies
18K Views
Wadau jisomeeni hapa! Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimesema tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne kwa mwaka 2012 ambayo imeundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, haitakuja na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Salamu wakuu, ukitizama kwa makini utaona jinsi dhana mbili zinazotumiwa na hivi vyama viwili yaani CHADEMA pamoja na CCM. tufanye tathmini ipi dhana bora? 1.BOTTOM UP APPROACH. chadema ndio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF najiuliza kuhusu mustakabali wa TZ katika EAC, matokeo ya kidato cha 4 ni ishara tosha ya TZ kujitoa katika EAC pamoja na kuwa kinara wa kurejeleza umoja huo. Bado napata wasi2 kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa elimu Dr. Shukuru Kawambwa , Philipo Mlulugo na Dr. Ndalichako ingekuwa busara mkajihudhulu kuliko kusubiri tuandamane, maana inaonyesha mmeshindwa kazi dhahiri, Juu ya matokeo mbaya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Polisi wazima maandamano Lindi, Mtwara hakukaliki HALI ya usalama mkoani Mtwara bado tete baada ya jana Jeshi la Polisi kuwahamishia mkoani Lindi waandishi wa habari 150, waliokuwa katika mkutano...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Majuzi tuliona spika na naibu wake wakifinyanga haki bungeni na wakatakiwa kujiuzulu. Mara yakaanza mauaji yanayohusiana na sababu za kidini tukataka waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu. Haukupita...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana ukiwa EATV ulisema chama hakikupa viti maalum! Uligombea viti maalum, au ulikuwa na dada, mchumba, shangazi au mama aliyegombea akakakosa? Viti maalum alikuwa anapewa mgombea? - Hivi kila...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Na Jacqueline Masinde, Geita Posted Jumapili, Februari24 2013 saa 21:47 PM KATIBU wa Itikadi Siasa na Uenezi Taifa, Nape Nnauye amewataka viongozi wa CCM, mkoani Geita kuacha kuongoza chama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania's national plans too vague, uncoordinated; experts not amused Sunday, 24 February 2013 01:46 By Mulemwa Mulemwa, The Citizen Correspondent...
3 Reactions
4 Replies
987 Views
Jakaya Mrisho Kikwete is an individual who is not interested in his fellow Tanzanians and who has the greatest difficulties in his presidential term and provides the greatest injury to innocent...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimemtembelea mkwe wangu Golani nimekuta barabara mkeka safi nimemhoji mkwe vp mbona juzi kulikuwa sivyo katika barabara hii kaniambia bwana mkubwa anatembelea hivi karibuni kuzindua daraja...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wana bodi Jf. Kujadili viongozi wa kisiasa sio tatizo, ila tunacho takiwa kuangalia tuna wajadili kwa hoja zipi. Je? hoja ambazo tunazijadili juu yao ni za kimaendeleo kwa ajili ya taifa letu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imeandikwa na mwandishi Wetu, Dar es Salaam Alhamisi, Februari 21, 2013 14:04 *Aingia Selous kuua Wanyamapori Raia wa Ugiriki, Pano Calavrias, aliyeghushi uraia wa Tanzania na kisha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
VS Mitaala yamtesa Waziri Kawambwa MBATIA ATOA KASORO NNE KUPINGA ILE ILIYOLETWA BUNGENI HOJA binafsi ya mbunge wa kuteuliwa na Rais, James Mbatia, aliyeibana serikali kutaka ilete bungeni...
8 Reactions
87 Replies
9K Views
hebu tuambie maendeleo au mapungufu uliyoyaona katika miaka 50 ya uhuru ukiweza tupia picha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Katika kitabu chake; The Flags Changed At Midnight- Mwandishi na ambaye alikuwa DC wa Mkoloni kuanzia 1951-62, Bw. Michael Longford anaelezea jinsi Serikali ya Mwingereza...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
itakuwa ni jambo zuri kumuenzi mjamaa huyu wa kweli aliyechukia UFISADI KWA DHATI.kwa maana nyie Chadema sera yenu ni kupinga ufisadi kwa nguvu zote. Watu wengi wamekuwa wakizuru kaburi la...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Nakionea huruma chama changu cha CHADEMA ambacho kinakwenda kuchukua madaraka ya kuongoza nchi mwaka 2015. Maana watakuwa na wakati mgumu sana katika kutekeleza sera zao kwakuwa watakuwa na miaka...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Back
Top Bottom