Katika kipindi cha This week in perspective cha ijumaa iliyopita. kulikuwa na mjadala juu ya machafuko yanayotokea nchini kujua chanzo, na nini cha kufanya. washiriki walikuwa Dr Kitine, Dr Bana, Njelu Kasaka na Prof Mpangala.
Hoja nyingi zilizungumzwa lakini chanzo kikubwa ilionekana ni udhaifu wa serikali "lack of rule of law". watu wanaua wanasepa, wanaiba twiga wetu wazimawazima wanasepa, wanasafirisha meno ya Tembo wakikamatwa wanasema "mimi yangu ni meli tu!" wanaachwa, makanisa yameunguzwa mengi tu huko Zanzbar hakuna aliyekamatwa, kwa hiyo wahalifu wanapoona hakuna hatua zozote znazochukuliwa wanakuwa hawana cha kuhofia.
Mwisho Njelu kasaka alipotakiwa kutoa neno lake la mwisho kumalizia mjadala alisema watanzania tusifanye tena makosa uchaguzi wa 2015, kwa sababu tumeshajifunza kuwa "Garbage in Garbage out!"
Hivi nani ni Garbage na nani sio Garbage ndani ya hii serikali? Hili Njelu hakulifafanua.