Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WADAU MIAKA YA NYUMA TOKEA ENZI ZA MWALIMU KULIKUWA KUNA MPANGO WA KUHAMISHIA MAKAO MAKUU YA NCHI KUTOKA DSM KWENDA DOM SASA HAMNA TENA ZILE SHAMRASHAMRA. JE MPANGO HUO UMEKUFA? KAMA HAKUNA...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa wanaharakati CHADEMA kupitia mpango wake wa M4C imeendelea kukizika Chama cha Mapinduzi katika manispaa ya Bukoba baada ya kufanikiwa kumpata mwanachama mpya Mkazi wa Hamugembe...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi katika nchi yetu hii ya Tanzania kuna utaratibu maalum uliowekwa wa kuwaanda na hatimae kuwakabidhi madaraka viongozi wakuu wa nchi kwa mfano, raisi,makamu wa raisi na hata viongozi wakuu wa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu, Tumeshashughudia utekwaji wa watu kadhaa mara kwa mara. Tumeshashuhudia matukio mbalimbali ya ajabu, ambayo hata hivyo yalifanywa kwa namna ya kuwasingizia majambazi. Leo...
24 Reactions
93 Replies
10K Views
FRIDAY, MARCH 1, 2013 CHADEMA YABADILI MBINU ZA KUWANIA IKULU 2015. PIA YAZINDUA M4C JIMBO LA MBEYA Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe akiongea na viongozi wa Chadema wa mikoa ya...
12 Reactions
41 Replies
9K Views
Ni majibu ya Jk leo alipoulizwa na mwanahabari wa Dernmak ni lini Tanzania itaacha utegemezi wa kutoka nje? Na sababu kuu ni uchumi umekuwa.
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba atakutana na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Mikutano wa Tume, Mtaa wa Ohio, jijini Dar es Salaam, kesho (Alhamisi, Machi 7...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Sitta amtikisa Kikwete Na Saed Kubenea - Imechapwa 17 November 2010 HATUA ya kumuengua aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta kwenye kinyang'anyiro cha uspika, ililenga...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Vijana wengi hawajitambui, wanawaza siasa kwa mtazamo wa kuneemeka na maposho posho, wachache sana wanawaza siasa njia sahihi ya kuikomboa tanzania toka matatiszo yanayotukabili. we have to shape...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu tumekuwa na hamasa kubwa tangu utaratibu wa uzinduzi wa kanda ya magharibi ambayo inaundwa na mikoa ya TABORA,KIGOMA,RUKWA NA KATAVI ulipotangazwa lakini leo ni mara ya pili kuhahirisha...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Safari ya Abdallaman Kinana kwenda Kenya katika kipindi hiki cha uchaguzi kinatia wasiwasi kwa watanzania hasa ukizingatia CHADEMA wametoa support kubwa kwa Odinga, Na niwazi CCM wapo kwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
MABARAZA YA KATIBA YA WILAYA YAWE HIVI Tume ya mabadiliko ya katiba imetoa mwongozo wa jinsi ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ya wilaya. Mie sina shida sana na uendeshaji wake, bali nina...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Tangu kuanza kwa vuguvugu la M4C hapana shaka mabadiliko ya kifikra yameanza kuonekana licha ya propaganda chafu za wazee wa magamba. Tunapoongeza nguvu za M4C kupitia kanda zetu ninawaomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taasisi ya kujitegemea inayofanya Utafiti wa masuala mbalimbali ikiwemo Utawala bora na Demokrasia hapa nchini, Synovate imetoa matokeo yake ya utafiti wake uliomalizika hivi karibuni na...
7 Reactions
150 Replies
12K Views
Kamanda wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu za viongozi wa CHADEMA. Akihutubia...
34 Reactions
211 Replies
19K Views
"UHONZOLOMO" ni neno toka katika lugha ya watani zangu wazaramo,walugulu na wakwele lenye maana ya jambo la hatari linalofanywa na mtu na athari zake ni kubwa katika jamii mtu mwenye kufanya hivyo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Closed
UJIO wa Askari wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) nchini na kuanza kufanya kazi,umewezesha kuanza kunaswa kwa baadhi ya watu,wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya Padre Evarist Mushi (55) wa...
0 Reactions
120 Replies
15K Views
SITI binti Saad, malkia wa waimbaji wa kike Wakizanzibari, aliwahi kuimba nyimbo iliyokuwa na maneno: “Unguja ni njema, atakaye naje.” Siti aliyaghani maneno hayo kwa madaha na maringo zaidi ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika kile kinachodhaniwa na kuhisiwa na wengi ya kwamba WATU WA KUSINI,wamekubali matokeo na ukimya wao ni ishara tosha ya kulegeza kwao kamba dhidi ya kile kilichoamuliwa na serikali katika...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Jamani kunanini hapa...au nyie mwalionaje hili jambo??leo katika pitapita zangu magazetini nimekutana hili la JK kuchangia katika kuhakisha Uhuru anakamata Ikilu msimu huu.Tuanzie pale alipo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom