Kenyatta na Tanzania?

Kenyatta na Tanzania?

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
4,990
Reaction score
4,272
Jamani kunanini hapa...au nyie mwalionaje hili jambo??leo katika pitapita zangu magazetini nimekutana hili la JK kuchangia katika kuhakisha Uhuru anakamata Ikilu msimu huu.Tuanzie pale alipo tiamaguu mwenyewe bongo miezi ile ya October na kuwa na mazungumzo na Rais moja KWA moja nikatika kutafuta ushawishi wa kimataifa, kwa watafiti wamambo imeonekana kwakuwa Rais Kikwete ana ushawishi kimataifa amsaidie katika sakata lake au kesi yake ilioko katika mahakama ya kimataifa( ICC )nchini Uholanzi .

Pia ujio warais alie maliza muda wake Mzee Mwai alipotua Bongo kuja kutuaga ndugu zake watanzania pia inasemekana kuwa walikuwa na mazungumzo kuhusiana na kumpiga tough Kenyatta,ukizingatia Kibaki anamuunga mkono waziwazi Uhuru.
Pia hivi majuzi tuu bi Ben-souda mwendesha mashtaka wa ICC mpya alikuwa ziarani Tanzania nakufanya maongezi na rais pale Ikilu, kukiwa kunauvumi pia huenda nikatika kuliweka sawa jambo linalo mkabiri Bwana.Uhuru

Nimejaribu kutafakari kwakiasi fulani kuicheck hii political game inavyokwenda, ukijumuisha na wings ambazo zimemfikisha Uhuru hapa alipo akiwa anaelekea kushinda kiti cha urais pale Kenya.

=======================

Itakumbukwa mnamo Oktoba 21,2012 Rais Kikwete alitembelewa na Uhuru Kenyatta akiwa na wenzake aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kenya Eugen Wamalwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya na mbunge wa Mombasa Kambi Kazungu, Mbunge wa kuteuliwa wa chamacha TNA Rachel Shebesh, Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA Moses ole Sakuda na mbunge wa zamani Abdullahi Ali.

Inasemekana lengo la ziaara hiyo lilikuwa ni kumwomba Rais Kikwete kuwalainisha ‘wakubwa' wa Mahakama ya Kimataifa ya uhalifuwa kivita (ICC) kutokana na kesi inayomkabili Kenyatta akiwa na mgombea mwezake William Rutto.

Wawili hao pamoja na wengineo,wana kesi ya kujibu kutoka na vurugu za uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.Kenyatta akiwa anajiandaakugombea urais wakati huo alishaona kuwa hicho ni kikwazo kwake hivyo alilazimika kutafuta njia ya kutokea ikiwa ni pamoja nakuwaona watu wenye ushawishi na wakubwa.

Kama hiyo haitoshi, Rais Mwai Kibaki alitua nchini Februari 18 mwaka huu kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuwaaga Watanzania.Alipofika nchini, moja ya barabaraza Dar es Salaam ikapewa jina lake.

Source: Mwananchi
 
Sihasa za Afrika ndugu
 
Ni mtazamo wako tu,kwanza Kenyatta as mtu huwezi kumwianisha na Tanzania ambayo ni Nchi...labda badili kichwa cha habari kiwe Kenyatta na Kikwete...
 
Uhuru anamwelewa JK kwamba ni mtu wa kulandalanda mitaani kwa watu.Hivo inawezekana aliomba kule anakolandalanda amsaidie kupiga domo kuhusiana na kesi yake.
 
Itakumbukwa mnamo Oktoba 21,2012 Rais Kikwete alitembelewa na Uhuru Kenyatta akiwa na wenzake aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kenya Eugen Wamalwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya na mbunge wa Mombasa Kambi Kazungu, Mbunge wa kuteuliwa wa chamacha TNA Rachel Shebesh, Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA Moses ole Sakuda na mbunge wa zamani Abdullahi Ali.

Inasemekana lengo la ziaara hiyo lilikuwa ni kumwomba Rais Kikwete kuwalainisha ‘wakubwa' wa Mahakama ya Kimataifa ya uhalifuwa kivita (ICC) kutokana na kesi inayomkabili Kenyatta akiwa na mgombea mwezake William Rutto.

Wawili hao pamoja na wengineo,wana kesi ya kujibu kutoka na vurugu za uchaguzi mkuu wa mwaka 2007.Kenyatta akiwa anajiandaakugombea urais wakati huo alishaona kuwa hicho ni kikwazo kwake hivyo alilazimika kutafuta njia ya kutokea ikiwa ni pamoja nakuwaona watu wenye ushawishi na wakubwa.

Kama hiyo haitoshi, Rais Mwai Kibaki alitua nchini Februari 18 mwaka huu kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuwaaga Watanzania.Alipofika nchini, moja ya barabaraza Dar es Salaam ikapewa jina lake.

Source: Mwananchi
 
Kama hamnaga cha Kupost si bora mtulie Kimya?
Au mnatakaga tu ionekane kwamba nanyie mmo ila Hamvumi!
Embu Angalia ulichoandika,

Nanukuu: Leo ktk pitapita zangu Magazetini nimekutana na hili la JK kuchangia ktk kuhakikisha Uhuru anakamata "IKILU,Msimu huu.

Je hapo juu labda ulitaka kusemaje,au kuwaambia nini Wana JF!?

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Story haina mshiko ........................... Sidhani kama JK anayo hiyo influemce. Wangeenda USA, UK, France then ningewaelewa no TZ!!
 
.........

Hapa walikuja kuomba msaada wa mbinu za kuchakachua kura ambao walipewa, ila tu huko utaalamu wao umegutukiwa mapema.
 
HAYA YA KISANII ZAIDI, KWAKUWA MAMBO MAZURI KWA KENYATA BASI KUJIKOMBA TUU
ANGESHINDA RAILA NAUHAKIKA PIA MNGELETA NGONJERA HIZIHIZI,na kusema ccm ilimtuma magufuli kenya kumsapoti Raila
 
ndio maana kushare mawazo lakini umeelewa..alafu kingine hili nijukwaa huru ungeona haina maana kwako ungeipotezea,umaarufu ninao kwa mkewangu na wanangu tu...Mungu akuponye ugonjwa wako wakijiba cha roho

Asante kwa kucomment

Kama hamnaga cha Kupost si bora mtulie Kimya?
Au mnatakaga tu ionekane kwamba nanyie mmo ila Hamvumi!
Embu Angalia ulichoandika,

Nanukuu: Leo ktk pitapita zangu Magazetini nimekutana na hili la JK kuchangia ktk kuhakikisha Uhuru anakamata "IKILU,Msimu huu.

Je hapo juu labda ulitaka kusemaje,au kuwaambia nini Wana JF!?

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
haaahaaaa...haya bwana...kwani kaisha shinda Kenyatta..!!??
HAYA YA KISANII ZAIDI, KWAKUWA MAMBO MAZURI KWA KENYATA BASI KUJIKOMBA TUU
ANGESHINDA RAILA NAUHAKIKA PIA MNGELETA NGONJERA HIZIHIZI,na kusema ccm ilimtuma magufuli kenya kumsapoti Raila
 
Kuna mtanzania mwenzangu anamshabikia Uhuru na anatetea kuwa family history haina tatizo kwenye uongozi, nikamuuliza ataweza kumuunga mkono Rizone kama atagombea uraisi wa tz? jamaa amekasirika na ameanza kumtusi Rizone.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi huyu huyu kikwete ana ushawishi wa kimataifa kweli? wakati akienda nje anapokelewa na mabalozi.
 
ndio maana kushare mawazo lakini umeelewa..alafu kingine hili nijukwaa huru ungeona haina maana kwako ungeipotezea,umaarufu ninao kwa mkewangu na wanangu tu...Mungu akuponye ugonjwa wako wakijiba cha roho

Asante kwa kucomment

mkuu unapoteza muda wako na huyo fal.a wa nini? achana naye, ajikate kivyake.
 
Back
Top Bottom