Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mambo yanazidi kupamba moto barabara zimechongwa na kuwekwa kifusi. Mfano mzuri kitongoji cha Mjimwema ambacho ndicho aliyekuwa mwenyekiti wa mamlaka kutoka Chama Cha Mapinduzi anishi hakijawai...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali ya Kifalme ya Saudi Arabia (Walinzi wa misikiti mitukufu ya Makka na Madina) imetoa vifaa mbalimbali kwa Taasisi ya mifupa ya MOI ya hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kwa ajili ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Mjumbe wa baraza kuu la CUF na waziri wa afya wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar ametoa wito kwa Wazanzibar kuungana na kudai nchi yao ya Zanzibar yenye madaraka kamili na serikali yenye mamlaka...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni suala lisilopingika kuwa nchi yetu japo tunasema haina ukabila, kwa kifupi ukabila upo japo si kwa kiasi kikubwa. mfano mzuri ni kwa nini ni vigumu sana kwa mgombea kuchaguliwa kuwakilisha kwa...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Mhe. Jaji Warioba, nani atachuja kuwa haya yachukuliwe na haya yasichukuliwe. Naomba elimu/kuelimishwa kwa hilo tu. Nadhani ni swali la Msingi.
0 Reactions
4 Replies
933 Views
Serikali kwa sasa haina chombo cha kuisimamia. Bunge limekuwa kama kikao cha kawaida cha CCM. Haya yanathibitishwa na hatua za serikali kuunda tume kujichunguza kila linapotokea janga. Lakini...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Wadau, Nimeshtushwa sana na habari ya walimu wawili wa Shule ya Sekondari Forest, huko Mbeya kukamatwa na TAKUKURU kwa kuchukua rushwa ya shilingi 500 kwa wanafunzi waliochelewa (Mwananchi, 6...
2 Reactions
88 Replies
10K Views
Wananchi wanakiu ,wako tayari kwa mabadiliko lakini wanasiasa na vyama vyao yaelekea hawako tayari kwa. mabadiliko ya kweli,na uongozi tofauti na huu wa ccm uliopo.achilia mbali vyama vingine vya...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
CHADEMA LONDON KIMEMKARIBISHA BALOZI WA TANZANIA UK KAMA KIONGOZI MUWAKILISHI WA WATANZANIA WOTE HAPA UK. CHADEMA UK KINATHAMINI UWAKILISHI WAKE KWA WATANZANIA WOTE KUTOKA CUF CHADEMA NA...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
wana jf, Kova akihojiwa na BBC (kama sikosei) juu ya tukio la kuvamimiwa na kushambuliwa kwa Kibanda, katika majibu yake amesema kwamba wa tanzania wanalalamika sana juu ya uhalifu wa aina hii...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu watanzania wenzangu. Tanzania ni moja ya nchi zinazoaminika kuongoza katika imani za kishirikina ikiwemo Nigeria. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na mauaji ya kishirikina, mfano kuchuna ngozi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
ITABIDI niseme kile ambacho yumkini wengine wanakifikiria tu wakihofia kukisema: Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete, si Rais wa Tanzania na wala si msaidizi wa Rais. Yeye ni mwenza wa...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Tanganyika Law Society president Francis Stolla (L) Chama cha Wanasheria Tanganyika kuifikisha Serikali mahakamani RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Francis Stolla amesema msimamo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sisi wananchi Juhudi Zenu Tunaziona, tunaziheshimu Na tunazithamini.. Tokea Mh Pinda aliahirishe Bunge la kumi ijumaa ya tarehe 8 febr 2013 Kwa miezi miwili hadi Jumanne ya April 9, 2013...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunakumbuka Walimu waligoma kwa kudai ongezeko la mshahara asilimia mia,asilimia 50 posho ya ufundishaji na asilimia 30 posho ya mazingra magumu.bajeti inakaribia walimu changamkeni!!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku mbili tu baada ya Kigoda kupongezwa kwa kumtosa Ekelege pale TBS kumetokea hisia tofauti pale ambapo mkurugenzi mpya ameamuriwa kuwafanyia usaili wakurugenzi wenzake wote na kuhakikisha kuwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mh Simbachawene ameenda mbali na kusema mgawo wa umeme ulikuwa unategenezwa; pia na waziri kaenda mbali baada ya kutoa taarifa kuchukua mafuta BP lakini mpaka anafika Dar ofc za ubungo hakuna...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Habari wakuu, Ni wazi kuna umuhimu wa raisi Kikwete kuandaliwa mdahalo na members wa JF,hii ni kwasababu kumekuwa na maswali,malalamiko,maoni,mapendekezo na mambo mengine mengi yanayoelekezwa kwa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Napingana na matendo yanayotaka kuifanya Tanzania kuwa kichwa cha mwendawazimu,uwendawazimu uliosemwa ulitumika wakati fulani wa utawala wa mzee Mwinyi akiwapiga vijembe chama cha soka nchi wakati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JUMATANO, MACHI 06, 2013 06:13 NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM WATANZANIA wanaoishi nchini Afrika Kusini, wamemlalamikia Balozi wa Tanzania nchini humo, Radhia Msuya kwa kuwanyanyasa na...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Back
Top Bottom