Watu tumekuwa na hamasa kubwa tangu utaratibu wa uzinduzi wa kanda ya magharibi ambayo inaundwa na mikoa ya TABORA,KIGOMA,RUKWA NA KATAVI ulipotangazwa lakini leo ni mara ya pili kuhahirisha mkutano wa uzinduzi ndiyo maana tumekwazika sana kwa athari zake ni kama zifuatazo
(1)Viongozi wanapewa lawama
(2)wadau wanahisi kubaguliwa na upendeleo kwani mikoa hii hasa TABORA viongozi wa kitaifa wamekuwa wagumu kufika.
Hivyo kama makao makuu tunaomba ufafanuzi kwani sababu ambazo viongozi wanatupa kupitia kwa KANSA MABAROUK,m/kiti wa mkoa kuwa kwa sababu m/kiti taifa ana ugeni jimboni kwake wadau tunaona hazina mashiko kwani chama ni taasisi kama yeye hayupo atume mwakilishi.