Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Matokeo mabovu ya mtihani wa kidato cha nne ya mwaka 2012 huenda ya kawa chanzo cha baraza la mitihani kuingiliwa na wanasiasa katika utendaji wake.Sidhani kama serikali itakubali hali hii...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Heshima kwenu wana JF,naomba nitumie jukwaa hili labda kama rais au wasaidizi wake wanaweza kusoma niweze kukumbushia ile ahadi ya TRAIN ya mwendo kasi toka Dar hadi Mwanza aliyoahidi wakazi wa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwa wale wanaoifahamu TBS yetu na viongozi wake, tunashawishika kusema kuwa SIASA imevamia kwenye mambo ya kitaalamu (kwa mtizamo wangu potofu) Kwa duru za ndani ya TBS ni kwamba viongozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
THURSDAY, MARCH 7, 2013 MBUNGE wa Mbeya vijijini (CCM) Lackson Mwanjali ameingia lawamani baada ya wanachi wa Kitongoji cha Italazya kata ya Ilembo Wilaya ya Mbeya kumtuhumu Mbunge huyo kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hapa kwetu Tanzania imeonekana kila aliyemfuasi wa CCM alikuwa anataka Kenyatta ashinde, wakati sio kweli ingekuwa CCM yote mlikuwa mnamuunga mkono Kenyatta ilikuwa vigumu sana Magufuli kumuunga...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika kile kinachoonekana ni harakati ya kukitokomeza CCM jimbo la BUSANDA. BAVICHA-Busanda wamekuwa na program ya kutembea jimbo zima na leo ilikuwa ni zamu ya Kata ya KASEME inayoongozwa na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Maoni yaliyotolewa na wananchi kwa ajili ya kuunda katiba mpya hayataingizwa yote kwenye rasimu ya katiba, bali yatakayoingizwa ni yale tu yatakayopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asema kwake ukweli utasimama kulinda maslahi ya Taifa na Chama kwanza WIKI iliyopita Mwandishi Wetu JOHN DANIEL, alifanya mahojiano na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Japokuwa idadi ya kura zilizohesabiwa hazijafika hata 50% liko jambo la kujifunza nalo ni idadi kubwa ya kura alizopata Uhuru dhidi ya Raila hata katika maeneo ambayo katika uchaguzi uliopita...
20 Reactions
127 Replies
14K Views
Mimi sina maneno mengi ila ni ushauri tu kuwa waandishi wa habari na wanasiasa kuwa mnapaswa kuwa kitu kimoja katika kupiga vita huu udhalimu unaoendelea kwa mlango wa nyuma ambao mpaka leo hii...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kilichomkuta Absolom Si cha kushangaza sana kwa anayeijua CCM na Vyomo vinavyohusiana nayo. CCM ni chama hatari sana. Kwa vile si chama kama tukionavyo, ni mkusanyiko mkubwa makundi ya wakora na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi na wakazi wote wa Maeneo ya TABATA, SEGEREA, KIMANGA na VINGUNGUTI mnaarifiwa kuhudhuria MKUTANO Mkubwa wa Hadhara utakaofanyika katika viwanja vya TABATA LIWITI Shule Msingi siku ya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Profesa Muhongo Na Jackson Odoyo Arusha WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekataa chakula Hoteli ya Mount Meru na kwenda kula...
13 Reactions
87 Replies
8K Views
Wananchi wa Kenya wamepiga kura kuchagua viongozi, wakiwemo rais,magavana, maseneta na wabunge. Ingawa sijasoma katiba ya Kenya kujua magavana na maseneta wana majukumu gani hasa, lakini...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
NAIROBI; KENYA: Tanzania President Jakaya Mrisho Kikwete has said his Government will respect the choice of Kenyans in the forthcoming March 4 General Election. Tanzania's President Jakaya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF, Naomba tujadiliane kuhusiana na sheria ya Waendesha Mashitaka binafsi na Wapelelezi ambayo naamini itakuwa ni mkombozi wa haki na usawa katika Taifa letu. Hivi sasa sheria hiyo haipo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania kunajambo linasikitisha/sangaza sana sijui niseme waafrika au watanzania. wakiona mtu mweupe utadhani Mungu wao. ili linaonesha kuwa waafrica bado tunajizalilisha utadhani...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
  • Closed
Km ilivyokuwa kwa suala la Mtwara na Gesi CCM wame chemsha tena vibaya ktk suala la Kuchinja.Huku wakikubalina na ukweli kuwa suala la kuchinja kwa waislam ni Ibada, Kuwa serikali haina Dini wala...
1 Reactions
0 Replies
964 Views
Ndugu zangu, Siku hii ya Kimataifa ya Wanawake haifai ikapita bila kujadili masuala ya msingi yenye kumhusu mwananmke na mahusiano yetu; wanawake na wanaume hususan kwenye kusaidiana malezi ya...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau JF CHADEMA vipi! ni swali ambalo najiuliza kila siku hasa hapa Wilayani Mwanga.Hakuna Ubishi kuwa katika Wilaya ya Mwanga Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilianzia harakati zake Kata...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom