Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
NDUgu zangu makamanda naomba muwaulize viongozi wenu Kama familia zao pia watashiriki. angalieni msije kuwa mnafanywa chambo tu kutafutia Watu wengine umaarufu kwani Kwenye kesi ya ponda sijaona...
4 Reactions
155 Replies
10K Views
Katika hali ya sintofahamu inayoendelea hivi sasa kati ya serikali kupitia wizara ya kagasheki na wananchi wa loliondo, leo viongozi woote wa kisiasa (waliochaguliwa kuongoza almashauri pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
...If you're a fearful get out of politics... Hii ni moja ya kauli ambayo nimeikubali sana kwa kuwa si tu imetamkwa na Mhe. Mbowe kwa kuwa ni mwenyekiti - CHADEMA (T) na mkuu wa kambi rasmi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NA MWANDISHI WETU CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kitahakikisha katika mabadiliko yake ya sasa kinawarejesha katika kuujua ukweli vijana waliopotoshwa na wapinzani hadi kufikia hatua ya...
0 Reactions
158 Replies
11K Views
Wasaalam wakuu, Hapa nipo Pamba Road - Mwanza na hii barabara miezi kama sita iliyopita ilizibwa viraka kwa zege la kujengea nyumba na haikudumu. Hivi sasa kuna mkandarasi anafanya maandalizi ya...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama Rais wa China ana mkalimani, kwa nini mshereheshaji (Mtanzania) anaongea kiingereza na siyo Kiswahili?? Inashangaza!!!
5 Reactions
81 Replies
9K Views
Jimbo la Kilolo ndani ya mkoa wa Iringa ni moja ya majimbo ambayo CCM mamekua wakijivunia tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa,lakini miaka ya hivi karibuni wananchi wanaonesha kuamka na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania tunaelekea wapi hebu tuwe waelewa na kuenda na wakati amkeni tumechoka na hii CCM na viongozi kwa kweli kwa binadamu mwenye akili timamu huwez kuvaa nguo ya aina moja kwa takriban...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
======================= HOTUBA ================== SPEECH BY H.E. MR. MASAKI OKADA, AMBASSADOR OF JAPAN AT THE HANDING OVER CEREMONY ON 22nd March 2013. (GRANT ASSISTANCE FOR GRASSROOTS HUMAN...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zilizonifikia kutoka Kasulu zinasema kwamba Bw. Rajab Mfaume Bujoro, Mwenyekiti wa CHADEMA wilayani Kasulu kuna uwezekano akahukumiwa kwenda jela kwa kosa la kufanya mkutano wa hadhara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Alhamisi, Machi 21, 2013 07:26 Na Mwandishi Wetu UONGOZI KAMATI ZA BUNGE *Mbunge maarufu akutana na waganga hoteli ya Lamada *Aulizwa, akana, amkamatisha mwandishi polisi Oysterbay MMOJA...
2 Reactions
92 Replies
8K Views
  • Closed
Kutokana na kuhama kwa vijana wengi kutoka chama cha democrasia na maendeleo wakiwemo vijana wawili machachali juliana na mtela binafsi ningependa kuwapa ushauri wachukue tahadhali ya usalama wao...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Hapa Tz tuliko fika sio kwa bahati mbaya kila nikiangalia sekta nyeti kama elimu,afya, kilimo,viwanda na sekta ya madini, haya yote hatuwezi kujadili bila kutaja sera elekezi za ccm tangu enzi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chinese President Xi Jinping is expected to unveil a big port project in Tanzania during his first visit to Africa as head of state, highlighting China's growing infrastructure investments in the...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapenda haki na wema hawapendwi ndani ya Taifa lao. Wasema kweli na watetezi wa wananchi wanaonekana wanahatarisha usalama wa Taifa. Wacha Mungu wanashambuliwa na kukashifiwa. Watoto wanaopenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Xi Jinping anafanya ziara ya kwanza barani Afrika tangu achaguliwe kuwa Rais. Kituo cha kwanza cha ziara yake ni Tanzania, pia atakwenda Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa BRICS halafu...
10 Reactions
161 Replies
19K Views
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu. Nina siku nyingi sana bila kupost habari mpya humu jamvini kwasababu ya majukumu ya kulijenga taifa langu la wadanganyika. Baada ya utangulizi huo ni kuwa Kamanda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau jana nilifuatilia dhifa ya kitaifa iliyofanyika ilkulu kwa ajili ya Rais wa China, nilichoshangaa ni kwamba Rais wa China Xi Jinping aliongea kwa lugha yake ya nyumbani - kichina, ilipofika...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Wanasaini mikataba Live TBC Sijui ina kitu gani ila??!! Mikataba yote iliyosainiwa leo ama ni ya kupewa msaada wa mkopo au uchimbaji wa raw materials(coal, chuma). Kwa ujumla mikataba yote...
0 Reactions
129 Replies
10K Views
Wakati hayo yanatokea, kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Edward Lowassa itakutana na Wizara hiyo inayoongozwa na Waziri Samuel Sitta kujadili mambo mbalimbali yakiwamo sera ya Tanzania katika...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Back
Top Bottom