M4C jimbo la Kilolo-Iringa

M4C jimbo la Kilolo-Iringa

ulimbo lunopo

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
243
Reaction score
39
Jimbo la Kilolo ndani ya mkoa wa Iringa ni moja ya majimbo ambayo CCM mamekua wakijivunia tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa,lakini miaka ya hivi karibuni wananchi wanaonesha kuamka na kutambua mbivu na mbichi ni zip, kuanzia vijana hadi wazee wanaonyesha wazi kuchoshwa na udhalimu wa watawala wa sasa.

WADAU inahitajika nguvu ndogo sana kutoa elimu kwa wananch hawa ni namma gan 2015 wanaweza kufanya maamuzi sahihi.

Chonde chonde!,M4C INAHITAJIKA JIMBON KILOLO---MUDA MUAFAKA NI SASA,
 
Back
Top Bottom