Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Thomas Mukoya/Reuters President Xi Jinping of China leaving the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam, Tanzania, on Monday. By CHRIS BUCKLEY Published: March 25, 2013 HONG...
1 Reactions
0 Replies
794 Views
  • Closed
Zanzibar: Washtakiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kidini (Jumiki) Zanzibar, wamesomewa mashtaka mapya katika Mahakama Kuu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Akiongea leo jioni ktk TV ya EATV ameonesha kuguswa na tume ya makweta na michango ilotolewa na tume hiyo na kudai,yaliyooneshwa na tume hayakufanyiwa kazi na hadi sasa anasikitishwa na danadana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
- Rasilimali za taifa zikuze uchumi na kuwanufaisha wananchi - - Wekeni mambo ya pesa uwaziHAPANA --- China na Tanzania ni marafiki ila viongozi wa serikali zake wana vision tofauti. Wachina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri mkuu,mh.Mizengo Pinda,ndie mshauri wa Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mambo mbali mbali ya uendeshaji na utendaji serikalini. Hivi sasa imeibuka kashifa ya wazi kuhusu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Mmiliki halali wa vyeti vya kidato cha sita vinavyodaiwa kutumiwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo,Phillipo Mulugo amepatikana. Mmiliki halali huyo ni Ndugu Dickson Mulungu ambaye kwasasa ni...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenyekiti mpya wa kijiji cha Mgelema kata ya kwai wilaya ya Lushoto kupitia CHADEMA hajui kusoma wala kuandika imebainika,mwenyekiti huyo bwana Juma Rashidi alipata ushindi wa kishindo dhidi ya...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya RNF, OMBENI MSUYA yenye makao makuu mkoani Dodoma Leo wamekabidhi msaada wa vitu mbalimbali katika maadhimisho ya siku ya polisi mkoa wa Dodoma. Mkurugenzi Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Diwani wa kata ya ulemo iramba unachokifanya hata mung atakulaani, wananchi wanahoji matumizi mabaya ya mali za kijiji we unawakamata unawaweka mahabusu? si sawa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana jukwaa! Bila shaka Watanzania tunaona,tunalalamika na kujutia mara nyingi sana pale ambapo masuala mengi ya kiuchumi,kisiasa na kijamii huwa hayaendi vizuri. Natambua...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
tarehe 21 january ndio tarehe iliyotangazwa kwamba stendi ya mabasi yaendayo mikoani ubungo itahamia mbezi louis ili kupisha mradi wa mabasi yaendayo kasi, lakini mpaka leo agizo halijatekelezwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu, leo nitazungumzia tukio la wizi ambao naweza kuuita ni wa kutisha uliotokea katika Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Zipo taarifa kuwa imethibitika...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulikia maswala ya Uchukuzi, kimeshangazwa na Uongo uliosemwa na Waziri wa Uchukuzi Dr Mwakyembe kuhusu mapato ya mamlaka ya Bandari Tanzania TPA mara baada ya...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Hakuna asiye fahamu kuhusu kinacho endelea kuhusu elimu yetu, watoto wetu wanaendelea kupoteza mielekeo yao huku mambo yakiendelea kuwa mabaya, tunaendelea kuwashambulia Magamba huku wao magamba...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo anadaiwa kutumia ujanja katika wasifu na elimu yake ambapo katika maisha yake ya kielimu ametumia majina manne tofauti...
5 Reactions
135 Replies
16K Views
siku za hv karibuni nilitoa andiko nikiwa nalaumu moac kwa kulalamikia mitambo ya analogy kuzimwa,ila nimegundua walikuwa na logic kwa mana kwamba tanzania bdo hawajawa tayari kuzima hyo mitambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele wana-jamvi:heri ya mwaka mpya, Kumekuwa na mijadala mbalimbali hapa jamvini kumuhusu Naibu waziri wa elimu wa Tanzania ndugu Philip Mulugo kama anavyojulikana kwa jina,mijadala hii...
3 Reactions
94 Replies
10K Views
Mara zote kufanya mambo bila kujua adhari zake ni hatari sana . Upo uvumi kuwa bwana mkubwa ameamua kufanya mambo kwa manufaa yake na familia yake bila kujali mustakabali wa taifa . Kuna mambo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
CAG amependekeza nafasi yake iwe ya kuchaguliwa badala ya ilivyo ya kuteuliwa na Rais. Akifafanunua zaidi, kuwa taatifa zake haziishii kwa Rais bali bunge la JMT na kusisitiza ni bora awe...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia Maendeleo CHADEMA leo kimetimiza miaka 20 tangu kisajiliwe rasmi kuwa Chama cha siasa. Waasisi 17 wa Chadema walikutana kwa mara ya kwanza July 2,1992 tangu mfumo wa vyama...
5 Reactions
32 Replies
8K Views
Back
Top Bottom