Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA ni muhimili wa upinzani nchini Tanzania hatahivyo wameshindwa kuleta mabadiliko kutokana na mwenendo wao wa kuendesha shughuli za kisiasa kimazoea. Nachukua fursa hii adimu kuwaasa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanza salam, Nasema nina wasiwasi kwa sababu nimefuatilia chaguzi kadhaa zilizofanyika hivi karibuni sijaona kujiamini kwetu kunatokana na nini maana tukiangalia uchaguzi wa madiwani uliofanyika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, (CHADEMA), amewataka Watanzania watarajie mapanbano makubwa zaidi bungeni, hata ikibidi ngumi kupigwa, ili kuleta ustaarabu na kutetea haki ya...
5 Reactions
90 Replies
7K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekubalina na jeshi la Polisi Tanzania kusitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike kesho tarehe 25/03 kushinikiza kujiuzulu kwa Mawaziri wa Elimu Upande wa...
2 Reactions
321 Replies
22K Views
  • Closed
Wanabodi. Mbunge wa Iramba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba, leo kwenye Mkutano wa CCM Morogoro, akihutubia Wananchi kasema Mbowe anasema anataka kuwakomboa masikini na...
2 Reactions
339 Replies
28K Views
Wananchi mbalimbali, wakiongozwa na viongozi wa kisiasa, kijamii na (kiuchumi?) leo wamejumuika kumuaga aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini jijini Arusha na kada wa CCM, Hendry Nyiti...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
wana JF. Leo mkoani MBEYA kumefanyika kikao cha Baraza Mkao na Wajumbe wa WILAYA ZOTE kuhudhuria..kikao kimeazimia 1st KUMTIMUA RASMI ndg EDO MAKATA MWAMALALA uanachama.2nd kumsimamisha...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Nimesoma hii habari ambayo waziri mkuu alikuwa akimjibu Lipumba madai kwamba Rais apunguze safari za nje. Mheshimiwa alianza kwa kusema kuwa ,safari za nje zimemwezesha JK kujitangaza nje na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Leo mchana wakati nikipata kikombe changu cha chai na andazi pale Tea Room ya kona ya Jamhuri na Morogoro nilipitia kitabu cha mwandishi wa Kisweden Stig Holmqvist kiitwacho; Pa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, nimekua mfuatiliaji mzuri wa vituo 'binafsi' vya televisheni na radio, Star TV na Radio Free Afrika, vinavyorusha matangazo yake to Mwanza...kuna kipindi nilikua navichukulia kama vituo vya...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
  • Closed
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito : First Name: Philipo Middle Name: Augustino Last Name: Mulugo Member Type...
1 Reactions
322 Replies
51K Views
Wanabodi, Tangu lianze sakata la maandamano ya chadema, kituo cha cha Star TV kimejitanabaisha wazi ni upande gani wanaelemea. Juzi walitoa taarifa inayoonesha watu katika mkoa wa Mwanza...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Kama unakataa kumpa ajira Dr Mweregu na kumpa Mulugo(fraudster) Uwaziri ,what do you think?
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Watu wa kusini tuna wabunge lakini bado wanashangaa shangaa.Tunahitaji kuwa na mbunge atakae sema wananchi kwanza badala ya chama au cheo,nimeshawahi andika juu ya swala la gesi,nikataka tujifunze...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari ya leo wakuu. Kwa mtazamo wangu hakuna nchi yoyote inayoweza kupiga hatua kama haina rasilimali watu na huduma nzuri za kijamii ya muhimu kuliko zote ni hospitali. Tanzania tumejali...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesaini mkataba wa ushirikiano na Chama cha Conservative cha watu wa Denmark. Mkataba huo una lengo la kuwajengea uwezo Vijana na Wanawake zaidi ya...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, baada ya Daudi Wangwe kushinda nafasi hiyo. Wangwe alipata kura 24 zilizopigwa na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wapendwa wana jamvi kwa jinsi E.L anavyokwenda kwa spidi kali namna hii anatisha...mimi najiuliza mbona mtu kama mengi,pinda,jk na wengineo hawaalikwi tena kabisa katika harambee..? jana tuu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Iwapendeze wakuu; Nimekuwa nikimfuatilia kwa ukaribu mno Mh. Mwakyembe kuanzia utendaji wake na hata maamuzi anayoyachukua mbele ya waandishi wa habari na uma wa Watanzania kwa ujumla. Mengi ya...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place? Unafikiri CCM na serikali...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom