babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
Watanzania tunaelekea wapi hebu tuwe waelewa na kuenda na wakati amkeni tumechoka na hii CCM na viongozi kwa
kweli kwa binadamu mwenye akili timamu huwez kuvaa nguo ya aina moja kwa takriban miaka 50 hivyo tumechoka na CCM kwa kua ni kama nguo iliyo valiwa kwa zaidi ya miaka 50.
Hebu tununue nguo mpya ili tuwe na mwonekano mpya na nguo mpya inayotufaa ni CHADEMA tumain la wanyonge!