CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Kutokana na kuhama kwa vijana wengi kutoka chama cha democrasia na maendeleo wakiwemo vijana wawili machachali juliana na mtela binafsi ningependa kuwapa ushauri wachukue tahadhali ya usalama wao kwani kuondoka ndani ya chama hicho wamejitengenezea maadui wengi wakiwemo viongozi, wanachama na wafuasi.
Nimechagua vijana hawa wawili kwakuwa wamekuwa tishio kwa chama hicho kwa ku expose maovu ya viongozi wa chama hicho na chama hicho kinatuhuma za kuwasilence watu wanaonekana threat kwa mastakabali wa viongozi hao.
Mifano ni tuhuma za kumsilence Marehemu Chacha Wangwe kupitia kijana anayejulikana kwa jina la Deus marya ambaye still anakitumikia chama hicho, kuuwawa kwa kutolewa kafara mwandishi Daudi mwangosi, kijana mussa na wengineo katika maandamano ya chadema, sakata la Rwakatale la kum'mlimboka' na kum'kiband(u)a' mwandishi Msacky.
Ninawaombeni mchukue tahadhari vijana wote mliojitolea kupigania taifa lenu na kuamua kuwaweka sawa vijana waliowekeza matumaini yao kwenye chama kinachoendelezwa kidikteta na ki imla.
Ni mimi kijana mzalendo.