Hivi sasa wanasheria wa CHADEMA wanafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na tukio la Lwakatare na makosa ambayo alishitakiwa nayo.
=========
Kiongozi wa jopo la wanasheria watano (5)...
I am not a political analyst lkn kuna kaswali najiuliza hivi kuna uhusiano gani kati ya viongoozi wa waasi wa DR Congo na nchi ya Rwanda?
Najaribu ku-link ilivyotokea miaka michache iliyopita...
Pepo la unyanyasi na vitisho kwa wale wanaotofautiana na CCM haikuanza leo. Mchungaji Mtikila aliipata, Dr. Slaa walitaka kumfanyizia Dodoma, leo hii Lwakatare. Nothing new.
China's new President Xi Jinping arrived in Tanzania today ahead of a three-nation Africa tour also taking in South Africa and the Republic of the Congo.
President Xi flew into Dar es...
Jana nilivyoona ujio wa Rais wa China niliduwaa nikivyoona amekuja na ndege ya shirika la China ...Air China... wakati marais wa Africa receipient wa misaada ya China wana ndege mahususi kwa...
Nimekulia enzi za ujamaa halisi - foleni ya unga, sukari, n.k. Na kitu ambacho nakikumbuka zaidi ni kauli za kejeli za Nyerere juu ya utandawazi - au kwa lugha ya kikomunisti, ubepari. Nyerere...
The Guardian, Dar es Salaam, Tanzania, 24th March 2013.
Whether we choose to behave like the ostrich and bury our heads into the sand or decide to simply keep silent as if everything is kazi...
Wana jamii forums,kuna dola zaidi ya milioni 30 inazungushwa huku na kule,kwa sasa iko NMB na wakubwa wa bank hii wanatia mgoma wa kuipeleka kwenye account ya nje ya nchi.last week waliitwa mahaka...
Chama cha demokirasia na maendeleo CHADEMA kupitia m/kt wa taifa Freeman Mbowe wamekubaliana kusitisha maandamano yaliyokua yafanyike ktk mikoa minne ya Tanzania,Mbeya ,Arusha ,Dar na Mwanza lkn...
Binafs sijawa nikijihusisha na chama chochote so i declare am not political affiliated.ILA NI MPENZ WA SIASA TOKA
MWAKA 1992 ENZI ZA C.MTIKILA NA SIASA ZA UTANGANYIKA.NLIMPENDA SANA KWA SERA NA...
Kiongozi gani mwenye uchungu na watanzania? Maana kila kiongozi anakuja na mradi wake Mf, kubadili namba za magari,kubadili leseni za udereva,kubadili urushaji wa luninga n,k
Mayage S. Mayage
Toleo la 286
20 Mar 2013
Nilikuwa radhi kujiuzulu uwaziri mkuu kama Rais Mkapa angenizuia kuvunja uongozi wa Jiji la Dar
Azungumzia wizi wa EPA, asikitishwa na jinsi Serikali...
Ndugu wanajamvi,
Napenda kuwajuza kuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ktk chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa hii leo wamekubaliana kwa kauli moja ya kujiunga na shirikisho la...
JUMAPILI, MACHI 24, 2013 08:52 NA MWANDISHI WETU
SIKU moja baada ya Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kupinga malalamiko yaliyotolewa na wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kuwa...
Wachina , wajapani na wahindi waligundua kuwa ili waendelee wanahitaji viwanda.Swali likaja ni viwanda vya namna gani na waanzie na vya namna gani wakagundua sio vile vya kuzalisha (manufacturing)...
Mon, Mar 25th, 2013
Tanzania's agricultural products, especially fruits and vegetables, command a large market share in the Guangdong Province of South China where the country's largest and...
Ikiwa ni takribani miaka 2 imebaki kabla ya uchaguzi mkuu nchini kufanyika, kuna baadhi ya wabunge wa CCM wenye nia ya kupeleka hoja bungeni ili kuruhusu vyama kuungana wakati wa uchaguzi kama...
Habari wana JF:
Baada ya ukweli kuanza kujulikana na pengine kuwa umeshajulikana kuhusu uhalali wa majina ya Naibu waziri wa Elimu Ndugu Philipo Mulugo na utata wa matumizi yake katika...
Mwanaharakati Marcosy Albanie ametoweka nyumbani kwake baada ya kufuatiliwa na watu wasio julikana kwa kipindi cha siku kadhaa.
Mtakumbuka mara ya mwisho Bwana huyu alionekana kwenye kipindi cha...
Wanajamvi mu hali gani, siku zote
nawaandikia barua lakini siwaulizi hali zenu,
mara zote huwaeleza siha yangu bila kujua
siha zenu. Nimeona sitendi haki kwa kuwa
kujua hali zenu ni jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.