CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

Status
Not open for further replies.

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,277
7,954
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :

First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe

EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Songwe Constituency 2010 2015
Southern Highland Secondary School School Managing Director 2008 2010
Southern Highland Secondary School Administrative & Personnel Officer 2005 2010
Southern Highland Secondary School Teacher 2000 2004
POLITICAL
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary General - Mbeya Region (Parents) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - Chunya District Political Committee 2007
 
Ahasante kwa kutujuza! Yaani Mwalimu wa shule ya Sekondari BINAFSI, asiyepata mafunzo yeyote ya UALIMU, anapanda ngazi hadi kufikia UNAIBU WAZIRI WA ELIMU!!!! Tunaipeleka wapi ELIMU katika nchi hii jamani? Lakini usishangae wana JF kibao watajitokeza na kumsifia kuwa jamaa ni KICHWA!!! We haya we!
 
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :

First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe

EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Songwe Constituency 2010 2015
Southern Highland Secondary School School Managing Director 2008 2010
Southern Highland Secondary School Administrative & Personnel Officer 2005 2010
Southern Highland Secondary School Teacher 2000 2004
POLITICAL
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National Executive Committee 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Secretary General - Mbeya Region (Parents) 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - Chunya District Political Committee 2007
Kasoma miaka yote hiyo primary?au ndo ile ilikuwa inaitwa kukariri?yaani kurudia darasa? alaf leo anawahukumu watoto eti wamefanya udanganyifu....!na alianza kufundisha kabla hajagraduate?Huyu anabalance tu equation ya JK lakini sifa hazitoshi na ndo maana wanashindwa kutafuta suluhu ya matatizo ya vyuo vikuu wanakimbilia kuvishutumu vyama vya upinzani
 
mh kweli kazi ipo! Alafu tutegemee kupatikana kwa utatuzi wa matatizo ya wanafunzi wa vyuo vikuu kwa style ya uongozi kama huu.
 
Hili ni janga la taifa na napendekeza wadau wa JF tulihesabu kati ya matatizo yanayokwamisha maendeleo ya nchi yetu . Itakuwaje kipofu awaongoze wanaoona? Kuna usemi unasema uwaziri siyo profession lakini nafikiri usemi huo umepitwa na wakati. Sasa hivi kwenye dunia ambayo imetawaliwa na teknolojia na sayansi ni vizuri safu ya decision/policy makers ingetawaliwa na wataalamu waliobobea kwenye kazi zao.

Ukiingia kwenye website ya bunge ukaangalia CV za wana CCM waliosoma na ambao wako supported historical perfomance utashangaa kwa nini JK hawapi kazi anakuja kumpa majukumu mazito former head teacher wa Southern Highlands Secondary. Je hata hiyo sekondari aliyokuwa headteacher ina mafanikio yoyote tangible ambayo labda yy ali achieve?
 
Kasoma miaka yote hiyo primary?au ndo ile ilikuwa inaitwa kukariri?yaani kurudia darasa? alaf leo anawahukumu watoto eti wamefanya udanganyifu....!na alianza kufundisha kabla hajagraduate?Huyu anabalance tu equation ya JK lakini sifa hazitoshi na ndo maana wanashindwa kutafuta suluhu ya matatizo ya vyuo vikuu wanakimbilia kuvishutumu vyama vya upinzani
Unarusha mawe wakati upo kwenye nyumba ya vioo! Kama ulianza darasa la kwanza 1982 unatakiwa kumaliza darasa la saba mwaka gani?
 
Duh nafikiri tatizo ni anayewateua. Aibu.
Ndugu yangu wee! Kuna tetesi kuwa alighalamia safari zote za mkoa wa Mbeya wakati Rizi- One alipomkampenia Mkulu kurudi ikulu kwa mara ya pili. Kama tetesi hizi ni za kweli, basi mkono wa Rizi- One umo katika uteuzi wa Mh Mulugo!
 
CV aileleweki kabisa,na kwa hakika hili ni tatizo kubwa hata anapoongea unaweza ukagundua kuwa kuna tatizo la msingi.
 
Waziri ni "political post" na si "technical post" ninavyofahamu (I stand to be corrected)

Pale wizarani kuna PS, huyo ndo anapaswa kuwa mtaalamu. Waziri ni kisiasa zaidi, hata kama hana background ya wizara anayosimamia. Sasa kama huyu ana bahati ya kuwa "mwalimu" na background ya admin, anatosheleza.
 
Wadau naomba tuiangalie CV ya huyu Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi tuone kama ina kidhi majukumu mazito :

First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name: Mulugo
Member Type: Constituency Member
Constituent: Songwe

EDUCATION
Rukwa Primary School, Chunga Primary Education 1982 1989 PRIMARY
Mbeya Secondary School O-Level Education 1990 1993 SECONDARY
Songea Boys' High School A-Level Education 1994 1996 HIGH SCHOOL
Open University of Tanzania BA (Economics Education ) 2002 2008 GRADUATE
CERTIFICATIONS

Degree miaka 6
 
Yaani wanaomtetea Mulugo na CV yake wanafanana na mtu anayejaribu kubeba gunia la misumari. Nakubaliana na huyo aliyesema kuwa huyu bwana alifadhili safari za Riz1 wakati wa kutafuta wadhamini wa mgombea wa Uraisi wa baba yake, hivyo hiyo ni fadhila za kazi aliyofanya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom