Rasilimali ya gesi kusini(Mtwara vs Lindi) ikifanyiwa mchezo itawasha moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rasilimali ya gesi kusini(Mtwara vs Lindi) ikifanyiwa mchezo itawasha moto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Adharusi, Nov 21, 2012.

 1. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,196
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Watu wa kusini tuna wabunge lakini bado wanashangaa shangaa.Tunahitaji kuwa na mbunge atakae sema wananchi kwanza badala ya chama au cheo,nimeshawahi andika juu ya swala la gesi,nikataka tujifunze kutoka kisiwa cha SONGOSONGO,tunahitaji kunufahika zaidi ya umeme wa elfu tisini,zaidi ya viajira vidogovidogo.Kusini inatakiwa kubadilika bila sera ya gesi yenye kueleweka sawa na hakuna,waziri anakuja kukusanya maoni ya sera ya gesi MTWARA NA LINDI alete majibu yenye kueleweka vinginevyo hali itakua mbaya.
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,877
  Likes Received: 1,688
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]
   
 3. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,196
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  mkubwa upo kifarsafa
   
 4. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 135
  Usitake kuanza kutafuta visingizio, mnataka mnufaikaje? watu wa Kusini ni wavivu. Hata Serikali ikiwapa kila mtu 500 000 kila mwezi bado mtabaki kuwa nyuma tu, mbona mikoa mingine wanajitahidi na hawana chochote?

  Mpaka sasa hivi hakuna Mkoa Tanzania wenye uhakika wa umeme kama huko Kusini, sasa unataka nini tena zaidi ya hapo? Chakalikeni acha kutafuta visingizio, mimi nimekaa huko unakokuita Kusini na pia ni kwetu ingawaje sijazaliwa huko na ninachoweza kusema tatizo ni utamaduni wa huko hata Serikali ifanye nini bado hamwezi kuendelea hata ikiamua kuwapa sijui shilingi ngapi kwa mwezi mtaishia tu kuwa kama waborigine wa Australia ulevi na anasa na ngoma, hamna mnachojua zaidi ya hicho, ukiishi Mtwara hakuna la maana zaidi ya ngono, sasa unataka Serikali ifanye nini?

  Nilikuwa huko wakati wa mgao wa Umeme Tanzania nzima, lkn Mtwara kulikuwa hakuna mgao, Makampuni ya mafuta yako huko, Serikali inajenga VETA ili kufundisha vijana mambo ya Gesi lakini wanafunzi wote wanatoka mikoa mingine nyinyi kazi yenu ngono tu, sasa unataka Serikali iwafanyie nini zaidi ya hayo? Mnaboa sana kwa kweli ingawaje pia ni kwetu lakini kumeniboa!

   
 5. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,883
  Likes Received: 1,759
  Trophy Points: 280


  si kweli unayosema,mimi pia nimekaa mtwara
  na juzi juzi nilikwenda kufanya audit kwenye miradi kadhaa ya maendeleo kanda ile
  watu wapo,na wanajituma kisawa sawa,suala la kusema ya kwamba wamekalia ngono huko ni kukosa busara na uwezo mdogo wa kuelezea mambo,ni kweli huwez kufananisha maendeleo ya kielimu kwa sehem kama mtwara na kilimanjaro au mbeya n.k
  ila kwa aliefika mtwara siku hizi za karibuni atakubaliana na mimi kwamba ni mji unaokua kwa kasi na wakazi wake ni wenye kukubali mabadiliko hayo,mji kama lindi umekaa kama linear settlement kitu kinachofanya maendeleo ya mji ule kusuasua lakini ni maeneo yenye watu na wenye moyo wa kujituma na sio uvivu kama unaousema wewe
  walichokosa wale ni wawakilishi wazuri bungeni wa kuweza kuwasemea na kuwaunganisha ktk nyanja mbali mbali,mtu kama ghasia,membe,mkuchika.chikawe na wengneo ni watu waliokalia zaid matumbo yao kuliko kuipa nafasi mikoa yao hii ya kusini

  napingana na wewe
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 6,877
  Likes Received: 1,688
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  NATMAI AYO MANENO MUYAAMBIE AYA MATAPELI MATATU NASIKIA YAKO MITAA YA UKO KUSINI NASKIA YUPO NNAPE aka VUVUZELA, KINANA aka JANGILI WA PEMBE ZA NDOV ZLIZOKAMATWA HONGKONG NA MANGULA MWIZI WA PESA ZA EPA, O.W SUBILINI KOFIA PIA CHUNVI MUUZE GESI YENU KWA MIAKA M5 MINGINE
   
 8. r

  raymg JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Magamba yanakuja huko wasilisha.....
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Adharusi, unaonyesha unataka kushawishi watu waje kuhujumu miundmbinu ya gesi.

  Nimeogopa sn kwa kauli yako kuwa waziri asipokuja kuchukua maoni hali itakuwa mbaya.

  Kuna wakati Mbunge mmoja alivimbisha misuli bungeni akitaka Mwanza na Shinyanga ni lazima zionekane ki-dhahabudhahabu kwa vile dhahabu inachimbwa huko.

  Tukiendekeza ukanda huo tutavuruga umoja na mshikamano wa kitaifa.

  Cha maana mnachoweza kufanya ni kutumia fursa zote zitakazojitokeza kwa kuwepo rasilimali hiyo, ikiwa ni pamoja na mrahaba(au mrabaha) ili kuunyanyua mkoa wenu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. kinja

  kinja Senior Member

  #10
  Nov 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nina wasiwasi na upeo wako inaonekana sio great thinker. suala la msingi jinsi gani gesi itawanufaisha wakazi wa Maeneo ya Lindi na Mtwara. hakuna sababu ya kila kitu kupelekwa bongo ndio maana hata suala la msongomano wa magari hautaisha. vijengwe viwanda na ufanyike uzalishaji katika maeneo husika ndipo uchumi wa nchi utakuwa kwa mlinganyo.
   
 11. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,810
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Namaliza MBA yangu hapa nirudi Nanyamba kuomba udiwani ili niwaokoe wana Mtwara vijijini, huyu Hawa ghasia kalewa na uwaziri, mkuchika ndo haeleweki kama mvuta bangi, huyu Membe kawa msomi mbumbumbu....

  Freedom is coming tommorow in Mtwara!!!!
   
 12. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 135
  Sihitaji kuwa huyo unayemuita great thinker kujua kwamba kuna tatizo kwa watu wa Kusini, unasema vijengwe viwanda nani ajenge, kama sio watu wa Kusini wenyewe? mbona Mikoa mingine wanajaribu?

  Na hata mtu akijitokeza mtu kuja kujenga hivyo viwanda huko, watakaofaidika sio hao watu wa Kusini bali ni wa kutoka sehemu nyingine za nchi, watu wa Kusini hawapendi kufanya kazi huo ndio ukweli, nimeishi huko hivyo nawajua sana, kwa sasa hali ilivyo Mtwara hakuna tena haja ya kuanza kutoa sababu sijui Mtwara kumesahaulika kuna kila kitu, mpaka barabara ni kama imeisha yote , hivyo unaweza hata kwenda Dar na kurudi lakini wapi, waliojaa Mtwara na kutumia hizo fursa ni watu kutoka Mikoa mingine.

  Lazima ukubali watu wa Kusini wana matatizo na ni lazima hatua za makusudi zichukuliwe kuwasaidia kama kweli tunataka wafaidike na fursa zinazojitokeza ikiwa ni pamoja na kuwafundisha kwamba kuna maisha pia bila ngono na ngoma!

   
 13. W

  Wizzard Wweed Senior Member

  #13
  Nov 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna kaiukweli kwa watu wa pwani kuwa na tabia ya uvivu,na hii si kwa mtwara na lindi tu bali hata hapa jijini Dar es salaam,Tanga *hata kule visiwani issue zao zina fanana(warith wa desturi za wa-arabu),lakini wana kusini binafsi nita watetea kiwango fulani na kuishutumu serikali kwa kuwa sahau watu kwa kuto wapelekea fursa ambazo zingeweza kuvuta watu toka bara(sukuma,haya ,nyamwezi,chaga etc)ambao huenda wangetia joto na changamoto na mwamko kuongezeka,
  * * *Fursa wanazo jitahidi kuzipeleka sasa(km,uboreswaji wa miundo ya barabara,kiwanda cha simenti,uchimbaji wa mafuta/gesi,nk) hivi vingewekwa kipindi tunarundika ma viwanda hapa dar es salaam na kusababisha msongamano wa watu hapa kumbe wengine wangeenda kusini kama wanavyo hamia sasa kwa kasi mpaka miji hiyo nyakati fulani ina gharama kubwa za maisha kuliko hapa DAR,
  * * *Sa hizi tungekuwa tunaongelea viwanda vilivyokufa kusini kama tunvyo ongelea TANGA,ARUSHA,NA HAPA JIJINI.
  HITIMISHO: pwani yote tabia zao zina fanana suala la wapi pa kuwe kima endeleo na wapi pazubae serikali inahusika kwa kiwango kikubwa,Miaka yoote Bandari ya kusini imetelekezwa tunakwenda jenga bandari mpya BAGAMOYO,unafikiri mji wa bagamoyo wenye bandari kubwa ya kisasa utahitaji miaka mingapi kuwa mji wa kibiashara?,bila kujali wenyeji kuwa wavivu,kwa nini watu wa kusini hawakupewa haya mpaka mmeona gesi ndo mnasogea kwa aibu.Nafikiri Fursa za za vipaumbele na uwekezaji wa miradi vichocheo kwa mikoa vina jazwa sana sehemu moja na kupelekea sehemu nyingine kusinyaa mbali na juhudi za wenyeji husika.*
   
 14. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,196
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  SISTA naheshimu mawazo yako lakini nakuomba utoe hoja,sio kusemasema tu,mkoa gani hawafanyi ngono,nimebahatika kuhishi mikoa mingi Tanzania,dar kuna madanguro mengi tu,niambie kusini wapi kuna madanguro,nenda Mwanza,ARUSHA,PUNGUZA KUTUKANA DADA ZAKO,naomba uniPM, NIKUJUZE VIZURI
   
 15. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,196
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  KESHO kusini inazaliwa upya.nitakua mmojawapo
   
 16. Z

  Ze Tiger Senior Member

  #16
  Mar 26, 2013
  Joined: Nov 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakileta ujanja ujanja yatatokea ya Cabinda na Niger Delta

  si umemwona Xi Jinping kasaini mikataba baada ya kutia timu Tz ?
   
 17. m

  matawi JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2013
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu mipango ikiwa mizuri hata bila kuchcharika sana maisha bora inawezekana mfano mzuri ni dubai yaani si kwamba waarabu wanatumia musuli sana isipokuwa nchi ina mikakati fresh na kila mtu anaishi vizuri. So hata kusini nchi ikipata kiongozi mzuri watu wa mtwara watakula bata tu
   
 18. M

  Mponda mali Member

  #18
  Mar 26, 2013
  Joined: Feb 23, 2013
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekaa kusini pale mtwara kinachodumaza maendeleo maeneo ya kule ni wananchi kuchaguwa viongozi wasio wazalendo na upeo mdogo wakuchambuwa mambo, mfano mtwara mjini pale wabunge waliopita wote awajielewi
   
 19. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2013
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kweli kijakazi,watu wa kusini wanajituma sana katika kazi bt serikali ndio inawaangusha,mfano inshu za korosho wanaichi wamekopesha mda mrefu bt hadi leo malipo bado,na hiyo pesa ndiyo wakiyokuwa wanaitegemea kwa ajiri ya kusomeshd watoto,kulimia mazao mengine ya chakula na n.k.... Sasa unategemea maishd yataenda vipi?
   
Loading...