Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzanian Shilling Projected to Slip Further This Year Daily News - March 27, 2013 THE shilling is likely to continue slipping due low export earning and high import bill, analysts say. They...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Juliana Shonza na Mtela Mwampamba walijiunga na CCM tarehe 12 Februari 2013 na kupokelewa na Kamati Kuu ya CCM. Hii ilikuwa ni baada ya wao kufukuzwa Uanachama wa BAVICHA na CHADEMA. Tukio hilo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
UTEKELEZAJI wa mipango ya Wizara ya Uchukuzi, inayosimamiwa na Dk Harrison Mwakyembe, kwa mwaka huu wa fedha uliobakiza miezi mitatu kwisha, ni wazi umekwama. Wakati amebakiza muda huo mfupi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM vs CHADEMA Inakuja sasa mpango mpya wa kutolea kafara watu ili kujenga hoja ya kubambikiza kesi za kijasusi sheria ambayo haiwapi dhamana wala kuwatoa vifungoni hadi uchaguzi Mkuu upite...
33 Reactions
112 Replies
10K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, amesema kama kuna Watanzania wameweka fedha kwenye akaunti za benki nchini Cyprus, basi "imekula kwao". Jaji Werema alitoa kauli hiyo...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Hili ni mfano mmojawapo wa jinsi gani viongozi wa CCM na jeshi la polisi hasa maaneo ya vijijini wanatumia vibaya madaraka yao. Hivi karibuni kumetokea mauaji ya mmojawapo wa wezi sugu wa mahindi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa muda sasa vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kauli tofauti za viongozi wa CHADEMA juu ya sakata la Lwakatare na mipango ya utekaji nyara kwa waandishi wasiounga mkono CHADEMA. Wakati Dr...
1 Reactions
133 Replies
11K Views
Chama Cha NCCR-Mageuzi, juzi kimeuteka mji wa Kahama, mkoani Shinyanga na kufanikiwa kuzoa wanachama wapya 220 kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wanachama hao walijiunga na Chama...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Hivi karibuni umetoa post mbili zinazowaelezea viongozi wa CHADEMA kuwa ni wasaliti kwa vijana na ukitoa tahadhari ya vijana wengine kuwa makini na usaliti huo wa CHADEMA ukijenga hoja yako...
18 Reactions
60 Replies
7K Views
Sina shaka ujio wa raisi xi na program nzima ya ziara yake hapa nchini vilijulikana majuma kadhaa kabla ya jana.Kwa maslahi ya taifa hili, demokrasia na "trasparency" ilikua vyema kama wahusika...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wadau za jioni? Ebu tumckilize Naibu spika wetu mh J.N yupo ndani ya bbcswahili mida hii,Anadai yeye hawabani wapinzani bali "ANAFUATA" kanuni za bunge.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakili kutoka Kampuni ya Mawalla Advocates kutoka Arusha Nyaga Mawalla (kulia) akionyesha kielelezo na kivuli cha gazeti moja kilichoandika habari kuhusu Kampuni ya Mawala kufanya biashara ya...
6 Reactions
151 Replies
38K Views
Katika pita pita yangu, nimeinyaka hii atiko huko kwa misupu, lakini cha jabu ni busara zilizoandikwa kwenye hii atiko. naomba tujadili hasa ni kitu gani wachina wanakitafuta nchini tanzania...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Wanafunzi wa shule ya sekondari Southern Highlands waliomaliza kidato cha nne mwaka 2003 wamejitokeza kudai kuwa maisha yao yameathiriwa kwa kiasi kikubwa na uongozi wa Mulugo alipokuwa...
3 Reactions
195 Replies
14K Views
Wana Jf Naomba mnijulishe huyu mbunge wangu yuko wapi kwani ni Siku nyingi hatumwoni jimboni wala bungeni.Tuna mengi yakumweleza ila hatupati huo msaada na bunge la bajeti linakaribia kuanza.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Absalom Kibanda The Kisutu Resident Magistrates Court yesterday adjourned the hearing of a sedition case facing Mwananchi Communications Limited (MCL) Group Managing Editor, Theophil Makunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Magazeti ya Rai na Raia mwema yameanza kupondona juu ya nani apitishwe na CCM kugombea urais mwaka 2015.Kwa wazi wazi magazeti haya yameonesha upande mapema kupitia makala za magazeti hayo. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2010, CHADEMA kilikuwa kikinadi sera yake ya Elimu huku ikisisitiza kuwa inawezekana elimu na afya bure nchi nzima. Wengi na hasa wapinzani wa CHADEMA...
16 Reactions
76 Replies
6K Views
Yamezungumzwa mengi kuhusu Mkoa wa Tanga na Kukubalika kwa CHADEMA. Zimejengwa propaganda nyingi dhidi ya CHADEMA kuwa ni chama cha WAKRISTO,WACHAGA na Kanda ya Kaskazini (Tanga Excluded). Baadhi...
20 Reactions
87 Replies
10K Views
Kova amkwepa Kibanda na Mwandishi wetu Tanzania Daima KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Sulemain Kova, amekwepa kufafanua hatua iliyofikiwa na kamati aliyoiunda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom