Stop unscrupulous Foreign Aid to Tanzania campaign towards 2015

Stop unscrupulous Foreign Aid to Tanzania campaign towards 2015

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,209
Reaction score
44,271
What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place? Unafikiri CCM na serikali yake watafanya nini kampeni hiyo ikianza?

Je wrwe kama Mtanzania utaathirika vipi na usitwishaji wa misaada hiyo? Je kama kuna misaada kweli inahitajika ni ipi na kwa maeneo gani au kwa muda gani?

Unafikiri tunaweza kupiga hatua ya haraka ya maendeleo bila misaada ya kigeni?
 
So far hata hiyo tunayopewa sasa hatuoni faida yake. Badala yake inatuongezea deni laTaifa na mariba lukuki. Who is going to pay such huge and useless debt?
 
What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place? Unafikiri CCM na serikali yake watafanya nini kampeni hiyo ikianza?

Je wrwe kama Mtanzania utaathirika vipi na usitwishaji wa misaada hiyo? Je kama kuna misaada kweli inahitajika ni ipi na kwa maeneo gani au kwa muda gani?

Unafikiri tunaweza kupiga hatua ya haraka ya maendeleo bila misaada ya kigeni?

Tanzania ikikataa misaada kwa hiari yake Wazungu wataiwekea "sanctions"! Hii misaada inawanufaisha zaidi Wazungu kuliko sisi na ndio maana pamoja na matatizo yote ya kiuchumi bado wanasema hawakati misaada, hata wakati wa Tsunami Japani Balozi wao alisema misaada kama kawa!

utaitwa mhaini, mchochezi na si mzalendo!!!!!!!
 
What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place? Unafikiri CCM na serikali yake watafanya nini kampeni hiyo ikianza?

Je wrwe kama Mtanzania utaathirika vipi na usitwishaji wa misaada hiyo? Je kama kuna misaada kweli inahitajika ni ipi na kwa maeneo gani au kwa muda gani?

Unafikiri tunaweza kupiga hatua ya haraka ya maendeleo bila misaada ya kigeni?

walio kwenye ngazi za juu serikalini, walio nje ya nchi (kama wewe), wafanya biashara hawataathirika moja kwa moja hapo mwanzo ila baada ya muda yatafika tu

mfumo wetu mzima wa afya ni tegemezi
 
In my views, foreign aid is not bad, however, as you have put it correctly Mzee Mwanakijiji, there is currently no well thought-out mechanism that guides solicitation of such funds for the benefit of the nation and which is in line with the country's development agenda. In most cases also, no information is made public concerning the agreements during the course of agreement. Seriously, we need a nation dialogue on this issue!
 
Last edited by a moderator:
What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place? Unafikiri CCM na serikali yake watafanya nini kampeni hiyo ikianza?

Je wrwe kama Mtanzania utaathirika vipi na usitwishaji wa misaada hiyo? Je kama kuna misaada kweli inahitajika ni ipi na kwa maeneo gani au kwa muda gani?

Unafikiri tunaweza kupiga hatua ya haraka ya maendeleo bila misaada ya kigeni?

Haya ni maswali mazuri sana na muhimu kwa mustakabali wa taifa letu:

What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place?

1) Kwa serikali za kiafrika kampeni kama hii inaweza kuwa nzuri lakini kama itashirikisha wananchi nje ya wigo wa vyama vya kisiasa. Ukishaweka utashi wa kisiasa basi haiwezi kufika popote.

Kama hii kampeni haitakuwa na mlengo wa kimakundi, CCM inaweza kuchukua hatua na kualign future aids to areas ambazo zitanufaisha jamii nzima.

2) Je wrwe kama Mtanzania utaathirika vipi na usitwishaji wa misaada hiyo?

Foreign aids ni lazima kwa nchi kama zetu hizi maskini. Ukiangalia budget yetu kwa kiwango kikubwa tunategemea misaada kutoka nje. Therefore, it is obvious kama misaada kutoka nje itasitishwa kuna baadhi ya huduma zitazorota kama vile afya, miundo mbinu, elimu n.k ambavyo moja kwa moja vinawaathiri wananchi wa kawaida.

3)
Je kama kuna misaada kweli inahitajika ni ipi na kwa maeneo gani au kwa muda gani?

Hili ndilo swali la msingi; misaada inahitajika katika maeneo yafuatayo amabyo pia yamo katika vipao mbele vya taifa kuelekea 2015:

elimu, afya, miundombinu, sekta ya fedha, maji, kusaidia wakulima wadogo wadogo na wajasiriamali bila kusahau technolojia.

4)
Unafikiri tunaweza kupiga hatua ya haraka ya maendeleo bila misaada ya kigeni?

This is debatable. The answer can be yes or no depending on the argument.

Kwa mtazamo wangu nadhani, foreig aids sio tatizo ila tatizo ni foreign aids in the hands of unscrupulous people.

Kama utakuwa na kumbukumbu vizuri kuna mradi wa kusadia maendeleo ya shule za msingi (MEM). Ule mradi more than 40% ya pesa zililiwa kwa ajili ya 'administrative work' and less than 50% ndiyo ilienda kwneye implementation ya project.

Ufisadi ni tatizo kwa jamii ya kitanzania. Sio kwa CCM tu bali watanzania wengine pia wenye vyama na wasio na vyama.

Ili Tanzania ipige hatua, jamii ya kitanzania mimi na wewe , CCM, CHADEMA, CUF na wasio na vyama na wengineo ni lazima tuwe na uzalendo kwa nchi yetu.

Tukawa na hiyo commitment basi tunaweza piga hatua ya haraka bila dependence kwenye foreig aid.

Tujiulize swali moja, hawa wanaotusaidia leo walianzaje hadi leo hii wanakuja kutukopesha?
 
Mimi nadhani kuna haja ya kusitisha misaada ya kigeni. Mimi ninapoona nchi za kiafrika zinachekelea kujengewa makao makuu yao na China sijui wana maana gani. China imejenga makao makuu ya Afrika kwa dola milioni 250. Hivi hizi ni pesa ambazo nchi za Kiafrika zinashindwa kupata mpaka waombe msaada. Jamani kuna vitu vingine ni udhalilishaji na inakuonyesha tu ulivyokuwa punguani. Hivi utajisikiaje ikiwa pesa ya kununua chupi unaenda kuomba kwa jirani. Hata kama jirani atakuijia anakuambia nimekuletea chupi ukipokea huo msaada zitakuwa zinakutosha kweli? Sawa sawa na ukumbi wa Julius Nyerere China kutoa dola Mil 20 tunaona ni msaada wa mkubwa. Hivi hizi pesa si ni sehemu ndogo tu ya pesa zinazopotea kwa siku kwa ufisadi wetu watanzania na serikali yetu?
Sisemi misaada isitolewe lakini kwa jinsi waafrika tunavyotegemea misaada sasa ukweli inatulemaza akili badala ya kutusaidia kuinua uchumi wetu.
Rais wa China hata Rais wa Marekani walipokuja Tanzania ajenda kuu ilikuwa misaada badala ya kuwa biashara, maendeleao ya siasa, teknohama na elimu. Vyombo vya habari vinasifia serikali kupewa neti na ukumbi wa Mil 20 ambao ni nusu tu ya uzalishaji wa mgodi wa dhahabu wa Geita kwa wiki. Jk amewaalika marais wakubwa wa dunia katika utawala wake kuja Tanzania lakini si kwa umuhimu wa Tanzania katika ulimwengu ila kwa sifa tu kwamba tunashirikiana na wakubwa msaada tutapata. Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Watanzania kama tunataka kuendelea tujue misaada ni adui yetu. Lazima tuanze kuikakataa hasa ile isiyokuwa na ulazima ili kutafuta njia za kusimama wenyewe.
 
KIKWETE ATUINGIZA MKENGE KWA KUSAINISHA 'MKATABA SUMU YA ZAIDI YA NUSU KARNE' NA UCHINA UTAKAOUA BANDARI KUU NCHINI NA KUHAMISHIA NEEMA KIJIJINI KWAO KUWA KAMA DUBAI

Toba, kwa mtaji huu wa ujenzi wa bandari nyumbani kwao na Rais Kikwete WaTanzania TUMESAINISHWA SUMU KALI itakayodumu katika mwili wa uchumi wa taifa letu kwa zaidi ya miaka 50.

Hadi tunakabidhiwa bandari hii tayari miundombinu yake itakua imekaribia kikomo cha ubora wake huku tukiwa tumepigwa stop kufanya chochote katika bandari zetu za mika yote ya Dar, Tanga na Mtwara kote huko kugeuka misitu na ajira zote kuhamishiwa Ukwereni Bagamoyo.

Hakika mkataba tulioingia juzi ni hatari kiuchumi, kisiasa na kijamii nchini Tanzania kwa vizazi vya leo na kesho kwa kudadavua misingi ya masharti lukuki yaloofungiwa macho na CCM kwa gharama ya walipa kodi.

Masharti ni kutokutumika wala kuendeleza bandari zinginezo zozote kilometa 200 mraba ni hatari tupu na taifa kuongezeka umachinga zaidi toka mikoa yote kwenda kubanana kwenye bandari pekee nchini pale Bagamoyo kwa zaidi ya miaka 50.

Swali zito hapa ni kwamba je, kama kila rais wa taifa hili atakua akiruhusiwa kuzima maendeleo ya maeneo kwingi Tanzania na kuhamishia neema zote kijijini kwao KUWA KAMA DUBAI sasa mambo yatakuaje?

JF: Taarifa hii nimeipata FB- TANURU LA FIKRA na nimeona tushirikishane kwa nia ya kupata ushahidi zaidi juu ya Masharti ambayo Serikali ya China imetoa kwa Tanzania katika kile kilichotajwa kuwa Misaada isiyo na masharti magumu kwa nchi yetu.

"MAPYA ZAIDI YA MIKATABA KATI YA CHINA NA TANZANIA YAANZA KUBAINIKA"

Hebu soma kwa makini moja Kati ya mikataba 17 ya China na Tanzania waliyoisaini kufuatia ziara ya Rais wa China nchini Xi Jinping.

Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika vimebainisha masharti ambayo yameambatana na Moja ya Mkataba ulisainiwa ambao umelenga katika UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO.
Mosi, Ili kufanikisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Serikali ya Tanzania itachukua mkopo wa fedha toka serikali ya Uchina.

Pili, Makampuni ya China na Injinia wao ndio watapaswa kupatiwa tenda ya ujenzi wa mradi huo.

Tatu; Serikali ya watu wa China watatakiwa kuendesha bandari bandari hiyo kwa muda wa miaka 50 ili Kurudisha mkopo uliotolewa kwa ajili ya ujenzi wa mradi huo.

Nne; Itatakiwa kuwa kwa umbali wa Kilometa 200 za mraba Kusini, Mashariki, Magharibi na Kaskazini kusiwepo na na bandari ya namna hiyo wala kuendeleza bandari ya namna hiyo.

Kwa maana hiyo bandari ya Dar es Salaam ,Tanga na Mtwara kwa mantiki hii hazitapanuliwa wala kuboreshwa ili kutoa nafasi ya Bandari ya Bagamoyo iwe ya kwanza kwa ubora na hii itadumu kwa kipindi cha miaka 50.

Tano; Upanuzi wa bandari wa Gati 14 wa Bandari ya Dar es Salaam umesimamishwa au utasimamishwa ili kuipa ama kuheshimu na kulinda mkataba wa wachina kwa bandari ya BAGAMOYO

Hizo ni baadhi ya dondoo za mkataba mmoja tu.

Naomba wenye taarifa juu ya hili JF watuweke wazi, maana maaana China ya Mao na Tanzania ya Myerere sio za sasa. Kuna mabadiliko makubwa sana ya sera za kiuchumi.

utaitwa mhaini, mchochezi na si mzalendo!!!!!!!
 
In my views, foreign aid is not bad, however, as you have put it correctly Mzee Mwanakijiji, there is currently no well thought-out mechanism that guides solicitation of such funds for the benefit of the nation and which is in line with the country's development agenda. In most cases also, no information is made public concerning the agreements during the course of agreement. Seriously, we need a nation dialogue on this issue!

Foreign Aid is bad period.No justification for this. We need to create our own and help innovations in our country. Why don't our leaders adopt the modal of Latin America countries like Brazil, Argentina , Venezuela etc who are dept free from western countries?, Instead we just want Aid from western countries.
What would Tanzania be like if we didn't have all the resources that we cant utilize? Its just sad how African leaders can't get this.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini usirudi nyumbani kwanza ndo ulete haya mawazo ya uCDM?Ughaibuni kuna levyaaa eeeeeeeeeeh............au umeshachukua uraia wa nchi mbili.
 
Uwanja mpya wa taifa uliwezesga kwa kiasi gani transfer of technology toja kwa wachina kuja kwa Watanzania? Je tunawrza kujenga uwanja kama ule sisi wenyewe?
 
What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place? Unafikiri CCM na serikali yake watafanya nini kampeni hiyo ikianza?

Je wrwe kama Mtanzania utaathirika vipi na usitwishaji wa misaada hiyo? Je kama kuna misaada kweli inahitajika ni ipi na kwa maeneo gani au kwa muda gani?

Unafikiri tunaweza kupiga hatua ya haraka ya maendeleo bila misaada ya kigeni?

Mkuu Mwanakijiji, hapo mwisho jibu ni ndiyo? kwa mtazamo mpana; hakuna free lunch duniani! misaada tunayopewa huwa tunailipia kwa kiwango cha juu zaidi kupitia mikataba mibovu ya kwenye mitambo ya kufua umeme, Uchimbaji madini, kwenye mahoteli ya kitalii ambayo hayalipi kodi, tunalipia kwa kuwapa uendeshaji wa viwanja vya ndege na kusababisha mali zetu kutoroshwa pasi na uangalizi wa uhakika, wanyama wetu wanawindwa kwa bei chee. Na hata misaada tukiiuchukua kama mikopo bado asilimia zaidi ya 90 inaishia kwenye upembuzi yakinifu ambayo inafanywa na hao hao wanaojiita ma-experts! mbali na riba inakuwa juu kupitiliza... in short nchi tajiri hususan za magharibi huwa zimetuwekea mifumo ya kutufanya tegemezi ili waendelee kutunyonya!!!
Nirudi kwenye mada; CCM bila ufadhili wa Barrick Gold, Symbion, Resolute, Agreco, Iptl, Leopard Tours, USA, EU, China kamwe haiwezi kushinda na itakufa kifo cha mende...
 
Kwanini usirudi nyumbani kwanza ndo ulete haya mawazo ya uCDM?Ughaibuni kuna levyaaa eeeeeeeeeeh............au umeshachukua uraia wa nchi mbili.
kwani ukiwa Tanzania ndi unakuwa na haki zaidi kuliko mtanzania aliye nje?
 
What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place? Unafikiri CCM na serikali yake watafanya nini kampeni hiyo ikianza?

Je wrwe kama Mtanzania utaathirika vipi na usitwishaji wa misaada hiyo? Je kama kuna misaada kweli inahitajika ni ipi na kwa maeneo gani au kwa muda gani?

Unafikiri tunaweza kupiga hatua ya haraka ya maendeleo bila misaada ya kigeni?

mkuu unaisema 'vibaya nchi'.

tumeambiwa watu kama nyie tuwazomee.
 
What would happen if we were to initiate such a campaign to demand that foreign aid ought to be halted until a new policy on solicitation of the same is put in place? Unafikiri CCM na serikali yake watafanya nini kampeni hiyo ikianza?

Je wrwe kama Mtanzania utaathirika vipi na usitwishaji wa misaada hiyo? Je kama kuna misaada kweli inahitajika ni ipi na kwa maeneo gani au kwa muda gani?

Unafikiri tunaweza kupiga hatua ya haraka ya maendeleo bila misaada ya kigeni?

Mzee una wasiwasi kuwa mikataba 19 na Wachina inaelekea katika uchaguzi wa 2015?
 
Back
Top Bottom