Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Tarehe 19/12/12 kamanda David Wilbard aliniomba kwa kupitia wall yangu ya facebook, nijaribu kutafari kwa upeo wangu hata nipate kumfahamu si kama kumjua mwanasiasa bora atakayeweza...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Nauliza na nataka kujua SIASA ni UADUI??nikiwa mtu ninaependa na kufuatilia siasa kwa umri wangu wa miaka 29,nashindwa kuelewa SIASA inavyotugawa watanzania kwa maslai yetu binafsi,leo unaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kama kawaida raisi wetu atakuwa na ziara ya kiserikali nchini uholanzi ya siku mbili. Hivi ziara za mikoani hataki? Source: Chanel ten habari.
1 Reactions
39 Replies
3K Views
kumbe viongozi wa chadema wa ngazi za juu hawana mawasiliano na kuna mambo yanafanyika bila wengine kujua! hebu fuatilia matukio haya ya hivi karibuni. wakati lwakatare anapanga njama za kumteka...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Closed
Nimetafutwa na uongozi wa JamiiForums ili kutoa maelezo kuhusu barua iliyowekwa jukwaani inayoonyesha kuwa ndani ya chama kuna kutoelewana kuhusiana na msimamo juu ya kesi inayomkabili mmoja wa...
148 Reactions
763 Replies
68K Views
Shilingi bilioni 620 za Deni la Taifa hazina maelezo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ametoa taarifa yake ya mwaka 2011/2012 na kuonyesha kuwa kuna skandali kubwa sana katika...
24 Reactions
76 Replies
9K Views
  • Closed
Kwa muda sasa CHADEMA imejikuta ikipoteza muda mwingi kwenye maswala yanayohusu sakata la Lwakatare. CHADEMA imejikuta ikijibu hoja nyingi na kuifanya kuonekana inaji-defend zaidi. Cha kusikitisha...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nchi ikiwa na bunge bovu ndiyo chanzo cha umaskini wanchi husika, bunge legelege haliwezi kusimamia serikali. Lakini hapa kwetu imekuwa kinyume chake serikali ndiyo inasimamia bunge na mihimili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanabodi Habari ya Jumapili, Nimepitia kwenye tovuti ya Bunge ili walau nipate ratiba ya shughuli za Bunge la kipindi hiki cha bajeti. Lakini nimeambulia patupu kulikoni? Nafahamu kwamba Ofisi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Mbunge wa Rombo Joseph selasini ametoa hoja nzito ya udini Bungeni akidai kwamba wanafunzi wa UDOM wa dini moja (hakuitaja) walikusanywa katika ukimbi kisha wakahubiriwa kuichukia dini nyingine...
14 Reactions
109 Replies
12K Views
Kesi ya Rwakatare kuwekwa sirini kuna malengo gani? Serikari imeona aibu kuumbuliwa na akina malando Live. Kuna maelekezo ambayo mahakama inayapata kutoka ikulu au selikalini jinsi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mon, Apr 15th, 2013 A Chinese millionaire with capital worth more 700 million US dollars, Mr Zhou Yi, has shown interest in building a luxurious accommodation facility in Serengeti National Park...
1 Reactions
1 Replies
834 Views
Na Daniel Mjema,Mwananchi Posted Jumatano,Aprili10 2013 saa 15:1 PM Chadema inadai wapandaji wa mbegu ya udini ni CCM Moshi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema iwapo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, zitto ni miongoni mwa viongozi wachache sana wanaoonyesha kunukia kuingia IKULU na kuitamani IKULU ama 2015 ama baada ya 2015. pamoja na mambo yote yanayomkabili zitto, lakini hakika...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni Mwalimu wa level ya Shahada, ni kweli matatizo yako mengi sana yanayoua elimu yetu, kinachokatisha tamaa Serikali imekuwa inashughulikia majengo, vitabu, ajira, Motisha kwa maafisa elimu...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
  • Closed
Selasini anayo yote najua JF ni kubwa tuwekeeni na sisi tuione tafadhali!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya kuona uwezo wa wanafunzi wanaosoma sekondari ni mdogo kuliko kawaida huku wengi wakishwa faulu ,jamaa wameamua punguza viwango ili wengi wavuke km shule zao za kata zilivyovuna...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari wanaJf, Kesho tar 30/04/2012 ndo siku ya hukumu ya kesi kupinga ubunge wa bw Aesh Hilaly Khalfan Wa Sumbawanga mjini, kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Wana-JF Hii imechukuliwa kutoka "National Website Of the United Republic Of Tanzania" Hivyo, mapendekezo hayo yanajikita katika kuendelea kuzingatia vipaumbele vya Mpango wa Maendeleo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen la leo naibu mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyetuhumiwa na CDM jana kuwa yeye anasimamia operesheni ya kuangamiza viongozi wake amejitokeza na kutoa majibu...
14 Reactions
168 Replies
27K Views
Back
Top Bottom