Wanahabari walikuwa miongoni mwa watu waliofika mapema mahakamani hapo na kuungana na umati mkubwa wa wanachama na wafuasi wa Chadema kusubiri ukumbi wa mahakama ufunguliwe.
Baadaye walitangaziwa...
Akichangi muda leo bungeni alitoa rai kwa wale wanaotaka ubunge kwanza waende JKT ili wapate nidhamu, hii ni kutokana matusi yaliyotamkwa jana na wabunge.
Nampongeza Mh. Raisi Dr. J. M. Kikwete kwa juhudi ya kuinua Mji wa Dodoma kwenye mbio za kuufanya uwe Makao Makuu ya Tanzania.
Pia naishauri Bunge letu Tukufu kufanya kila liwezekanalo kuufanya...
Nimefuatilia kwa makini matamshi mbalimbali ya viongozi wa CHADEMA juu ya utetezi wa mkurugenzi wa Usalama wa CHADEMA Bwana Lwakatare. Napata shaka kwa kauli za kubadilika badilika.
Kwanza...
Nimeanza kuangalia bunge hili la bajeti toka tarehe 9.4.2013 hadi leo kwa kweli nimefarijika na kukubali kuwa Jimbo la Kilolo walimchagua kiongozi bora na hawakukosea. Great Thinkers ktk bunge...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wamejiridhisha kuhusu wingi wa taarifa zilizomo katika Vitambulisho vya Taifa. Hii imefanyika katika ukumbi wa Msekwa mara baada ya Spika wa...
Wadau hii itasadia Uchakachuaji wa kura TZ??
Plans are underway to introduce the use of biometric electoral system in Tanzania's 2015 General Election, Tanzania's National Electoral Commission...
Nina rafiki yangu anasoma Nje ya Nchi ananiambia kule wao hakuna bili ya maji,ila sio tu kuwa hakuna bali ni kwa sababu iko kwenye kodi wanayo lipa serikalini,sasa swali langi likawa hivi Kodi...
-Maisha bora kwa kila MTZ yameishia wapi?
-Ajira mil 1 alizotuhadaa JK ziko wapi?
-Ufaulu kuongezeka hadi 80% uko wapi?
-Mafisadi kukamatwa na kufilisiwa imeshindikana?
-Rasilimali kunufaisha WATZ...
Ezekiel Maige (MB) aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii alisita kutoa ardhi kwa waarabu. Sambamba na hili aligoma kutoa vibali vingi tu kuwindia kwa wageni wengi wakiwemo katibu mkuu wa CCM na...
Monday, April 15, 2013SEREKALI YA TANZANIA YATENGA SH/BILIONI 1 KWA AJILI YA KUZIKA VIONGOZI WAKATI WANANCHI HAWANA HATA CHAKULA CHAA KULA MLO MOJA
Dodoma. Serikali ya Tanganyika inayo ongozwa...
Dodoma.Baadhi ya wabunge jana waliendelea kutumia fursa ya mjadala wa hotuba ya Waziri Mkuu kurushiana vijembe na maneno ya kuudhi mambo ambayo yalisababisha mivutano ya kikanuni, huku mmoja wao...
Monday, April 15, 2013
Jeshi la Polisi Zanzibar limefanikiwa kuwakamata watu wawili ambao wanasadikiwa kuwa majambazi,waliokamatwa wakiwa na silaha ya SMG yenye risasi 29 ndani yake...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHadema), kimesema hakitashiriki katika mchakato wa Katiba Mpya endapo serikali haitapeleka bungeni Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ili kufuta vifungu mbalimbali...
Kwa kweli leo katika kuangalia kwangu Bunge asubuhi na jioni hii. Hawa jamaa wawili wameonesha mfano mzuri sana katika uchangiaji wao kwani wametumia muda wao kwenda moja kwa moja kwenye hoja za...
Katika mjadala wa leo wa bajeti ya waziri mkuu mbunge wa gairo ndg Sbabiby amekuja na alternative ya kuondoa tatizo la maji hapa nchini kwa kuongeza Tsh 50 kwenye kila lita ya petrol and diesel...
Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda anatarajia kuongoza maandamano makubwa ya ng'ombe kutoka Lusumo Nyakabanga Mkoani Kagera, hadi Ikulu kwa Rais Jakaya Kikwete ili kupinga uonevu na...
Ni kwa muda mrefu kidogo sasa tumekuwa tukishuhudia taarifa na matamko mbali mbali kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu sakata linaloendelea la Rwakatale. Kwanza kabisa napenda...
wanajamvi,wilaya ya Tunduru ambayo iliaminika kuwa ni ngome ya Chama cha CUF sasa mambo yamegeuka,hali hiyo imemlazimu naibu katibu mkuu wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika bwana Mtatiro ambae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.