Rais ziarani uholanzi

Rais ziarani uholanzi

Status
Not open for further replies.

MAMU35

Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
63
Reaction score
6
Kama kawaida raisi wetu atakuwa na ziara ya kiserikali nchini uholanzi ya siku mbili.

Hivi ziara za mikoani hataki?

Source: Chanel ten habari.
 
Kama kawaida raisi wetu atakuwa na ziara ya kiserikali nchini uholanzi ya siku mbili.

Hivi ziara za mikoani hataki?

Source: Chanel ten habari.

Atatembelea pia SAUD ARABIA? Ametuvuruga KIDINI lakini anakwenda WESTERN EUROPE kujikosha na VAZI LA KONDOO but deep inside he's someone ELSE!!!
 
Anaenda kutembeza bakuli ili kuja kufidie zile hela watu wake wanazoiba kwani anajua hawezi hata kuwanyooshea kidole, achilia mbali kuchukua hatua.

Kwanza ulishamsikia analalamika kuhusu ufisadi? Wananchi wote wanalalamika kuhusu hilo ila yeye tu anaona si issue kubwa!
 
Huyu bwana haki ya mama ni sikio la kufa, hii ni kukwepa matatizo kwa kukimbilia nje (escapism)
 
Kama kawaida raisi wetu atakuwa na ziara ya kiserikali nchini uholanzi ya siku mbili.

Hivi ziara za mikoani hataki?

Source: Chanel ten habari.

wakati akiwaangani cyo vibaya akawa anajisomea tamko la cdm ajione jinsi vijana wake wanavyoruka sarakasi na mataulo
 
Kama kawaida raisi wetu atakuwa na ziara ya kiserikali nchini uholanzi ya siku mbili.

Hivi ziara za mikoani hataki?

Source: Chanel ten habari.

Sio mbaya. next week kuna maziko pale UK, lazima awe karibu, ili aende kutuwakilisha... Afterall, sio kwamba anapenda kusafiri saannaa, ila inam-bidi afanye hivyo, kuna ishu kama ya kucheki afya na mambo ya 'kuchenji blad'...
 
Daaa kwanini wasimwekee vikwazo vya kufika huko, ili akome kuzulula
 
Mtasema sana, usiku mtalala...!

Leo Anaelekea Uholanzi kwa ziara ya siku mbili...!
 
Jason bourne hebu zunguka kipande hii utupatie ni safari yake ya ngapi jamani mzee wa anga!
 
Last edited by a moderator:
kigoda,muhongo,salma,na waziri mmoja toka zenji ndani ya pipa nao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom