CCM kiboko

CCM kiboko

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,217
Baada ya kuona uwezo wa wanafunzi wanaosoma sekondari ni mdogo kuliko kawaida huku wengi wakishwa faulu ,jamaa wameamua punguza viwango ili wengi wavuke km shule zao za kata zilivyovuna.

Inaelekea akina Mulugo wapo wengi tayari ktk system na hivyo wanakwama.

Cha kufurahisha Mulugo ndo alitangaza kwa furaha.si coincidence,kwani Mulugo mwenyewe utata.soon wataomba mitihani itolewe kabisa.bila kujua mitahani ni zaita ya cheti.
 
Elimu ya hovyo hovyo, yani haijengi mtu kua na ujuzi ambao anaweza akautumia...
 
Mulugo mwizi wa vyeti leo waziri wa elimu unategemea tutavuna nini ktk elimu yetu?huyu alistahili kufungwa kama fisadi wa elimu kibaka
 
Ningekuwa mimi Mulugo ningeshajiuzulu muda mrefu sana
Ajiuzulu wakati watu wa kundi lake ndio wamepata ushindi sasa ni zamu ya failures kula nchi?ni fungulia mbwa tuu.

Hamjui watu wasio na vyeti kwa kushindwa kitaauma ndio wanapenda viti virefu vya ajira za vyeti?kwa asieamini apite maofisini awaone walivyo busy kupata vyeti (hata km vina makosa ya jinsia hawataki subiri,forgery ikamilike )wapate mshahara wanaotumani hapo juu yao.na wengi wamedaka post kwa vile hawana aibu wala dogo.iliyobaki ni kuwakebehi waliosoma vyema wakati wao walikuwa wanakula pombe.

Hiyo ndio reward ya magamba na kwa wenye bidii.
 
ccm wapo sahihi kuwa kaburi waliöalo mbele yao ni la chama chao.kwa hilo hawana mashaka

Wanajua cdm kuwa hai hadi 2005 automatically uchaguzi ccm itakufa,kabla hata uchaguzi fika.

Ndio maana ni ngumu sana washawishi ccm kwa nana yoyo wawe na uvumilivu wa kisiasa kwa cdm.kwa ni mutually exclusive existence.kwa cdm lazima ife ili ccm ikifa basi watokeze wahuni wahadae watu na kuwatisha,huku wakiwanyima option ya kila kitu.watu waanze lishwa kila habari na fahamu kwa kijiko.

Tusiwashangae nape,mwigulu na wengine,ndio kutetea uhai.warithi wa chama mufilisi.chama kisicho na nanufaa km ma radio transmitter ya pale external.
.ccm kazi na matumizi yake yamekwisha hivyo hivyo.
 
nachezea gamba wewe,watu km lisu,mwandosya na wengine wanakutana amim viwanja vya nchi wanajadili au kupewa maelekezo na amim ambaye identity yake kielimu imeishia f4.na kala maisha sana na sasa kuna vipanga wanareport kwake.
 
wassira alipaza sauti chadema kitakufa akapata mwangwi unaöfanana na kusema ccm inakata roho.mwigulu and co wakajenga picture ya ugaidi sasa wanayo hali ngumu.
 
new idea inaonekana ktk movie series za ccm.zinavuta hisia sana zinavyoanza,zinavyoendelea,zinawapa audience mamlaka na mwanga wa kupredict next episode, zinawakumbusha movie nyingine za director na script writter huyohuyo,..baadae watu wanalazimishwa wakubali bad guy wa siku zote awashinde hata police achilia mbali good guy wa kiraia.
Hivi fbi na cia hawana criteria za terrorist zozote ambazo sharable ccm wapate.iam affraid kuwa hapa hawatachomoka kwa jinsi walivyovuta attenntion kubwa ili wapate support kubwa.ndivyo wataanguka kwa nguvu mbele ya audience kubwa na watakaowahi wabandika kengele yawapika ugaidi nawaongo wakubwa wanaokandiza wananchi.


Anayejua atushtue basi km ndio trend.
 
-ccm ni chama cha kigaidi,pamoja na ugaidi wa mataifa mengine kwa jina la ujamaa na ukombozi ,ccm wamekuwa rafiki wa mataifa yenye kufanya ugaidi ,km irani,korea kaskazini,libya,syria na pajjistani..hivi karibuni raia wa tanzania ndani ya ccm ,mawaziri ,waandishi na wengine wamekuwa terrorized.Muunganiko na cuf waliyoita ya kigaidi bila kuwahi tengua hiyo kauli.

-ccm ni chama cha kiislam.wamethibisha hilo kwa Muunganiko na cuf ktk serikali moja ya umoja wa kitaifa.ccm waliiua cuf kwa kukiita na kukilaani km chama cha kiislam.matukio ya sasa ya usirikiano mzuri wa ccm na masheikh kwa kiasi cha kuwa na matamko mamoja na kuwa na adui mmoja ukristu anayeonywa kuingilia ktk siasa huku akionywa na mashehkh,rais na mwae,vipindi km arisala,police waislam,taasis za umma na za kiislam kufanya kazi za chama zaidi kadiri idadi na vyeo vya waislam vikipanda.,suala ya kuchinja limekuwa too biased.

Ccm ni wakabila na wakanda.ccm wanaweza kuwa hawapendelei kwa kabila ila wana vikwazo kwa kabila na ukanda.Ni sera yao mtu wa kaskazini asahau kushika nchi hata km ni mwenzao.Lowassa anajua hillo.na hilli wamesema wazi na wanalitumia dhidi ya chadema.pengine kuna katiba ya kinyama inayoharamisha watu wa kaskazini.ccm pia wanataja wachaga na chama chochote kinachowapa uongozi kitaifa kuwa haramu.wamekuwa wakirhuumu chadema na kuwaonye kuwa wachaga ni haramu na chama chochote kinachowa nafasi kitaifa ni harammu.

-Ccm ni wezi wa mali ya umma hapa hakuna maelezo.

-cc ni wajinga na watu wa kuforge,kuanzia bungen hadi mawaziri km mulugo.
Mengine wataongezea wenine wakati nikiomba maelezo kutoka kwao km watachomoka.

Naomba mod asikate stim kwa ku move au kuifunga.
 

Nime note, usiku huu kati ya saa 8 usiku wa manane na saa 10 alfajiri, umeanzisha mfululizo wa 4 kuhusu CCM,
na ikatokea by coincidence tuu, threads zote 4 ziko jukwaa moja zinafuatana na wakati nilipozikuta, zote nne mchangiaji wa mwisho alikuwa ni Nicholas!, what a coincidence?!.

Naomba kutoa tena ushauri wa bure kwako na kwa wafuasi wengine wengi wa mabadiliko ya kweli, adui mkubwa wa taifa hili sio CCM!, nisome hapa kuhusu adui ni nani haswa,Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM!
elekeza mashambulizi kwa kumlenga adui, mkikalia CCM hivi, CCM vile kila kukicha, you might miss the real target!, na by the time mnashtuka that you might not hit the bull, it might be too late!, you can just do too little too late!

Endeleeni, November, 2015, tutakutania humu humu jf na kukumbushana!.

Pasco.
NB. Pasco wa jf, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa!.
Kwa wanaodhania mimi ni CCM, kanisomeni hapa, CCM Imechokwa!. na hapa, CCM imechokwa mpaka basi!
Wanaonidhania mimi ni Chadema, mimi ndiye wa kwanza humu kusema CHADEMA Haijajipanga! -
Wanaodhania mimi ni CUF, nisomeni humu, Kifo cha CUF hichoo..chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee?

Pale CCM inapofanya mazuri, huwa naipongeza! Miongoni Mwa Mazuri ya CCM!.
Pale Chadema inapofanya mazuri pia huwa naipongeza! Pongezi Chadema, 2015, Ikulu Njia Nyeupe! ...
 
Acha kujisifia na kupoteza watu...unafahanika wewe ni nani na kwanini uko hivyo....
 
Baada ya kuona uwezo wa wanafunzi wanaosoma sekondari ni mdogo kuliko kawaida huku wengi wakishwa faulu ,jamaa wameamua punguza viwango ili wengi wavuke km shule zao za kata zilivyovuna.

Inaelekea akina Mulugo wapo wengi tayari ktk system na hivyo wanakwama.

Cha kufurahisha Mulugo ndo alitangaza kwa furaha.si coincidence,kwani Mulugo mwenyewe utata.soon wataomba mitihani itolewe kabisa.bila kujua mitahani ni zaita ya cheti.

Mkuu mbona hata wewe mwenyewe mtata? Au ndiyo matokeo ya shule za kata? Nashindwa kuelewa kiswahili chako ni kibovu sana ipo haja kupata msasa

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Pasco
Naona umemfuatilia Nicholas huyo ndugu yetu yupo kazini; yupo tayari kuandika chochote ili mradi mkono uende kinywani wapo wengi humu JF wanadhalilisha utu wao kwa vijiposho kutoka mtaa wa Togo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
CCM cha kilichopo madarakani kwa takribani miaka 50 lakini hakuna jipya kazi kujaza matumbo yao. Naichukia ccm hadi nachukia hata majani bure.
 
magamba yanakera sana hovyo niyakuyalaani tu kila kukicha.
 
Baada ya kuona uwezo wa wanafunzi wanaosoma sekondari ni mdogo kuliko kawaida huku wengi wakishwa faulu ,jamaa wameamua punguza viwango ili wengi wavuke km shule zao za kata zilivyovuna.

Inaelekea akina Mulugo wapo wengi tayari ktk system na hivyo wanakwama.

Cha kufurahisha Mulugo ndo alitangaza kwa furaha.si coincidence,kwani Mulugo mwenyewe utata.soon wataomba mitihani itolewe kabisa.bila kujua mitahani ni zaita ya cheti.
Kinachotokea sasa ni kitu cha ajabu sana mkuu!!Hii serikali sijui ni ya aina gani hapa duniani?Kweli kusoma kumegeuzwa ni kufaulu mitihani na sio weledi!!Mpaka hawa jamaa waondoke madarakani hii nchi itakuwa imebakiwa na mafisi na misitu tu
 
Back
Top Bottom