Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sun, Apr 14th, 2013 Hunting of dolphins has become a problem and conservation activists want authorities to put a stop to the malpractice which has become rampant in Dar es Salaam and Tanga...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
MTATIRO yupo mkoani RUVUMA saiv katika wilaya ya TUNDURU, na mpaka saiv viwanja vya Baraza la idd vilivyopo Tunduru mjini wamefurika maelfu ya watu, wakimsikiliza mtatiro!!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, baada ya tukio la kukamatwa Lwakatare na hatimaye kufikishwa mahakamani kutokana na kutuhumiwa kupanga njama za kigaidi, mjadala mkali umeibuka hapa nchini na viongozi wa CHADEMA na CCM...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari za kuaminika Mkuu wa JKT Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kupitia wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, Makame Rashidi amefariki usiku wa manane, hospitali ya Lugalo.
5 Reactions
119 Replies
22K Views
NEWS By JOINT REPORT The EastAfrican Posted Saturday, April 13 2013 at 18:40 IN SUMMARY Sources in the Tanzanian intelligence said Gen Stanislas Bigaruka, who is thought to have been...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MIMI NI MTU HURU AMBAYE AKILI YANGU HAIJAGHOSHIWA NA ITIKADI YA CHAMA CHOCHOTE. NI MTANZANIA MWENYE MAPENZI NA TANZANIA. CHADEMA wakati mnahangaika namna gani ya kulizima jambo la video ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
CHADEMA imeshindwa kuitumia vizuri nafasi yake kama chama kikuu cha upinzani kwa manufaa ya taifa. Hali ilianza kuonekana tangu awali baada ya uchaguzi mkuu ambapo CHADEMA ilikataa kushikisha...
7 Reactions
203 Replies
15K Views
  • Closed
Hakuna mtu mwingine anayestahili heshima ya kuwa mdini aliyekubuhu kwani ni zaidi ya mdini, ni mmadhebu naye ni Nyerere. Kitabu cha Jan P. Van Bergen kilimnukuu Nyerere akisema maslahi ya kanisa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwigulu Taaluma ya Ualimu ni Taaluma kama Taaluma zingine,Unaposema kila Mtu mwenye Shahada ana uwezo wa kufundisha unakosea tena sana.Kuna kitu kwenye ualimu kinaitwa Pedagogy of Teaching...
22 Reactions
121 Replies
13K Views
baadhi ya wabunge wa ccm wamekosa maadiri na bado spika anawalinda, je..? ungekuwa wewe una uwezo wa kutoa adhabu ungewaadhibu vp?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
WOTE TUNAFAHAMU CHANGAMOTO ZINAIKABILI WILAYA YA IRAMBA ....UMASKINI,ELIMU DUNI ,MAGONJWA ....KUTOPEWA KIAPAUMBELE KATIKA MIRADI YA SERIKALI NK! inasikitisha kuwa baadhi yetu hawajaliona hili kuwa...
3 Reactions
55 Replies
7K Views
KWA MWANACHAMA SI ADABU KUPIGANA NA TAMKO LA CHAMA HADHARANI. TAMKO LA CHAMA HUREKEBISHWA NA TAMKO LA CHAMA NA SI MTU ABADANI!!!!!! Huku nikijua kuwa nauvunja mwiko nilijiwekea wa kutoongelea...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
chama cha demokrasia na maendeleo kanda ya kati kinapenda kuwakalibisha wanachama wote katika uzinduzi wa kanda ya kati utakaofanyika tarehe 20/04/2013 siku ya jumamosi katika viwanja vya barafu...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, atatoa hotuba yake leo kwa saa 1 bungeni, muda si mrefu kutokea sasa! Atazungumza vitu muhimu sana vyenye maslahi kwa Watanzania na taifa...
31 Reactions
336 Replies
37K Views
Brigedi ya Uingiliaji Kati ya Umoja wa Mataifa inayopambana na vikundi vyenye silaha mashariki ya Congo kikiwemo kikundi cha M23 itaundwa na wanajeshi 3,069 na kuongozwa na jenerali wa Kitanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kabla sijaandika ya moyoni kwa ufupi naomba niweke sawa mambo mawili. Moja ninamheshimu dada yangu Vicky na sina tatizo na Vicky personally. Tatizo hili lipo kwa wabunge wengi tu na leo dada yangu...
10 Reactions
39 Replies
5K Views
Wawe wa haki za binadamu wafuatilie uendeshwaji wake live. Wawe kutoka mashirika huru na Wahisani ili washuhudie utawala wa sheria kama Viongozi wanavyohubiri. Washuhudie jinsi Mtuhumiwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mambo yote mnayolalamika, mnayoongea na kushauri huyu Mzee huwa hayaoni, wala hayasomi na hata akisikia hayajali kabisa. Huyu Mzee hakugombea urais kwaajili ya issue zenu. Aligombea urai kwaajili...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
  • Closed
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaja majina ya baadhi ya watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikidai kuwa ndio wanaopanga mipango ya...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom