Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 314
Nauliza na nataka kujua SIASA ni UADUI??nikiwa mtu ninaependa na kufuatilia siasa kwa umri wangu wa miaka 29,nashindwa kuelewa SIASA inavyotugawa watanzania kwa maslai yetu binafsi,leo unaweza kuwa na rafiki mkitaka kkugombana basi nyote mgombea nafasi moja katka CHAMA chenu mtageuka maadui,pia ngazi ya chaguzi za kitaifa tuna vyama vilivyo na uhusiano mbaya kwa manufaa ya nani sijui,wananchi wanaendelea kuteseka kwa umasikini,naomba majibu siasa ni uadui?tumejifunza nini kenya,tumejifunza nini kwa OBAMA VS MAMA CLITON,"""waswahili wanasema iga kazi usiige matumizi""