Wanabodi
Habari ya Jumapili,
Nimepitia kwenye tovuti ya Bunge ili walau nipate ratiba ya shughuli za Bunge la kipindi hiki cha bajeti. Lakini nimeambulia patupu kulikoni?
Nafahamu kwamba Ofisi ya Spika kama zilivyo ofisi nyingine za serikali inao wataalam wa mifumo ya computer, je wameshindwa kufanya kazi hii ndogo tu ya kutujuza sisi wananchi ratiba ya shughuli za bunge letu?
Je wataalam hawa hawajui wajibu wao au ni kwa makusudi ili kutunyima watanzania fursa ya kujua kinachoendelea?
Naomba mwenye kujua kinachoendelea tafadhali anisaidie