Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2013

Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.

Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.
 
Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi.

Jamani CHADEMA hamna huruma kabisa. Mtaacha MAGAMBA wafe kwa viwewe jamani. Ndani ya Bunge mmesha wageuza wapinzani. Nje ya Bunge nako mnapiga bila huruma namna hiyo!!?? Mwisho watasema CHADEMA ndiyo imemuua Bi. KIDUDE ili kichukiwe na wapenda Taarabu kama sio muziki wa Jahazi.

Walidhani wakimuweka ndani Lwakatare shughuli zote za CHADEMA zita simama na yule Jangili wa tembo akaanza mikutano ya kinafiki. Kumbe hawakujuwa kwamba utekelezaji wa kazi unatokana na mipango kabambe ambayo inatekelezeka licha ya rasilimali kidogo walizo nayo CHADEMA.

CHADEMA KUMBUKENI KWAMBA "KIFO CHA KENGE HADI MASIKIO YATOE DAMU"

Peopleeeeeeeeeeeeeeeee's Powerrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi.

Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.

Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.

mkuu molemo habari njema sana hii ila wamepata kibali?coz hawakawii kusema oh polisi hawatoshi si unajua wanavyoweweseka?
 
Nakumbuka Mbeya jinsi Kamanda wa Anga alivyoiteka Mbeya sasa sipati picha hii ya Dodoma kama na raisi wa watanzania atakuwepo Dr. W. Slaa... Natamani kuwa Dodoma siku hiyo, update muhimu
 
wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za tanzania mkiti wa chadema freeman mbowe na katibu mkuu wake dr wilbroad slaa wanatarajia kuiteka dodoma siku ya jumamosi. Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa kanda ya kati ya chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa chadema walioko dodoma kwenye vikao vya bunge.uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili manispaa ya dodoma.tangu chadema ianzishe utaratibu wa kanda umekuwa mwiba mchungu kwa ccm.

wishing them all the best, the country needs a strong and honest opposition
 
Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi.

Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.

Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.
Ngoja nikuongezee idadi ya LIKE

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu molemo tunashukuru sana kwa taarifa nzuri kama hizi, nisikiapo taarifa nzuri za ukombozi kama hizi moyo wangu hufarijika sana na kujawa na furaha.Mungu awape afya njema.makamanda wetu mbowe na dr slaa kwa kazi nzuri wanayiifanya.asante kwa taarifa kamanda molemo.
 
Nakumbuka Mbeya jinsi Kamanda wa Anga alivyoiteka Mbeya sasa sipati picha hii ya Dodoma kama na raisi wa watanzania atakuwepo Dr. W. Slaa... Natamani kuwa Dodoma siku hiyo, update muhimu

Kwa kweli imekuwa gumzo kuu hapa Dodoma.Dr Slaa anasubiriwa kama mfalme.Pia watu wana hamu kubwa ya kuwasikiliza wabunge wa Chadema hasa Tundu Lissu na Godbless Lema.
 
Mkuu molemo tunashukuru sana kwa taarifa nzuri kama hizi, nisikiapo taarifa nzuri za ukombozi kama hizi moyo wangu hufarijika sana na kujawa na furaha.Mungu awape afya njema.makamanda wetu mbowe na dr slaa kwa kazi nzuri wanayiifanya.asante kwa taarifa kamanda molemo.

Nashukuru sana mkuu lupe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom