Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo...
The message reads as follows:
H.E. Barack Obama,
President of the United States of America,
Washington D.C.,
U.S.A.
Your Excellency,
I am deeply saddened by the shocking news...
BAGAMOYO UNIVERSITY IS OFFERING MASTERS DEGREE IN PEACE AND CONFLICT RESOLUTION.
INTAKE: MAY INTAKE- admission is on already
DURATION: ONE YEAR
QUALIFICATION: First degree in any field
This...
Wadau chief Mangungo wa Musovero ametajwa na wanahistoria kwamba alidanganywa na jasusi karl peters na kupelekea kuuza uhuru wa Tanganyika yetu kwa wajerumani.
Leo hii nchi ya Tanzania ambayo ni...
>>Wamshitaki kwa Waziri Emmanuel Nchimbi >>Wasema anaendesha ugaidi wa Kiislamu >>Atakiwa ajiuzulu na Timu yake yote ya Jihad WANAOJIITA Kamati Huru ya Umoja wa Makanisa nchini...
WAKATI wabunge sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakianza kutumikia adhabu ya kutohudhuria vikao vitano vya Bunge la Bajeti vinavyoendelea mjini hapa, utata mkubwa umeibuka juu...
Ndugu zanguni,
Juzi tu hapa ndugu yangu Msigwa mbunge wa Iringa ambaye alichaguliwa kwa kura nyingi na wakazi wa Iringa mjini ili akawawakilishe bungeni kwa kutetea maslahi yao aliwakera wakazi...
Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe.
Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, imeibua kero nzito dhidi ya Muungano zinazohusu majimbo madogo ya Zanzibar kupewa mafungu mawili ya...
Kilicho baki tanzania ni kuitoa CCM madarakani ili kuweka chama kingine. CCM imechoka na imekosa mwelekeo. Inahitaji miaka zaidi ya 20 kujipanga. Hatuwezi kuongozwa na chama ambacho chenyewe...
Ikiwa kama ugaidi kwa tafsiri nyepesi ni kuwafanya watu waishi kwa hofu (terror) kwa maslahi ya waleta/wajaza hofu (terrorist), basi CCM ni chama cha kigaidi.
1. Ndicho kilichowafanya wanachama...
Nilipata bahati ya kukutana na mmoja ya watu ambao wako kwenye frontline ya mapambano ya Mh.Lowasa ya kulinda heshima yake waliojaribu kuipoka na kumzuia kuwa mgombea urais wa Tanzania. Moja ya...
JUMAMOSI, APRILI 20, 2013 06:16 NA DEBORA SANJA
*Ni za miradi ya maji, Profesa Mwandosya amkingia kifua
MBUNGE wa Meatu, Meshack Opulukwa (Chadema), amemtuhumu Waziri wa Maji, Profesa Jumanne...
Saturday, April 20, 2013Kutembea nikujifunza mengi kwa faida ya taifa letu, Upinzani sio uhasama Chama tawala nikujifunza mengi wanapo kosolewa kwa faida ya taifa.
Karibu katika mahojiano kati ya...
Mbinu za CCM licha ya propaganda nyingizi tulizozoea kuzisikia na kuzoona kila kukicha, ajenda kubwa ya sasa ni kupandikiza propaganda za kuwagawa viongozi wa juu kiaifa ili kusababisha migongano...
Akizunguma na Kituo cha Redio cha Zenji FM, 96.8 cha Zanzibar katika kipindi maarufu cha 'Mwangaza wa Habari', Selelii ameeleza kuwa aliambiwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz anahusika na Kampuni ya...
Wimbo wetu wa taifa unataja "hekima, umoja na amani"kama ngao.
Najiuliza hivi viongozi na watanzania kwa ujumla tunatilia maanani maudhui haya? Kipimo kidogo cha hekima ni maneno yanayotoka...
Nimemsikia Mbunge lema kupitia taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku huu akisema kuwa kesho anarudi bungeni licha ya amri ya naibu spika kuwazuia kuingia bungen kwa siku 5.
Mbunge Lema alikuwa...
Spika wa Bunge, Anna Makinda
Dodoma. Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema kuwa watakata rufaa katika Kamati ya Kanuni ya Bunge dhidi ya mwongozo wa Spika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.