TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Mbunge wa Bariadi Mheshimiwa John Cheyo akisakata ndomboloo ya solo na spika wa bunge Anne makinda jana mjini Dodoma katika hafla iliyo andaliwa na bia ya Safari Lager. Bungeni tunabishana kwa hoja uadui wa bungeni ni bungeni uraiani sisi sote ni ndugu naam siasa ni burudani pia.