Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,846
- 21,684
Kila nikimuangalia spika mama Makinda na vituko anavyofanya ndani ya bunge nakumbuka maneno ya Spika aliyepita Samuel Sita kwamba mama Makinda anakurupuka!
Katika kipindi kifupi tu alichoachiwa kukaimu shughuli za spika wakati Mhe Sita alipokuwa nje ya nchi mama huyu alifanya vituko ambavyo vilimstaajabisha Sita hadi akatoa conclusion kuwa mama huyu ni mkurupukaji!
Tufanye nini ili huyu mama ajirekebishe? Au ndiyo tumeula wa chuya?!