wana jf,
Taarifa rasmi ni kuwa kesho kuna mkutano mkubwa wa hadhara hapa mkoani Tabora,viwanja vya stendi ya zamani,karibu na kwa Rage(mb).Mkutano huo umeandaliwa na CHADEMA wilaya ya Tabora Mjini,gari ya matangazo inapita now hivyo mnaombwa kufika bila kukosa ,kuanzia saa tisa mchana
Peopleeeees poweeer