Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Ni wa kuhudhuria mahakama kuu mapema asubuhi kuonesha mshikamano dhidi ya hujuma kwa LEMA. Pia mnaombwa kutokuleta vurugu zozote muwapo eneo la mahakama. Wito unatolewa pia kwa vyama vya...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Huyu Mbunge ana majukumu mengi sana kwani anawakilisha majimbo yote ya Dar ukitoa ile moja tu ya kawe ambayo ipo kwa kamanda Mdee zilizobaki zote zinamtazama kamanda Mnyika ili apeleke kero za...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Magesa Mulongo na Mhe. Godbless Lema muda mchache kabla mkuu wa mkoa huyo haja amrisha wafiwa watandikwe mabomu akidai hawana adabu. http://youtu.be/vceDp8pcoUA Leo nimeona thread eti...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Akiwa katika ziara ya kichama mkoani Morogoro, Kanali Mtaafu Kinana alikubana na dhoruba la kuzomewa maeneo ya Ruaha, mpakani mwa wilaya ya Kilosa na Kilombero akielekea Ifakara na Mahenge...
8 Reactions
101 Replies
11K Views
Mbunge aliyemtwanga msaidizi wake atajwa Mhe. Idd Azzan na Mwandishi Wetu Tanzania Daima MBUNGE mmoja wa Wilaya ya Kinondoni, anayedaiwa kumpiga msaidizi wake wa zamani na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu JF, Amani iwe nanyi. Nimeona hii Taarifa ITV kuwa kutakuwa na Mechi kati ya timu ya Wabunge na Wakuu wa Wilaya. Muamuzi atakuwa Ndugu Reginald Mengi. Madhumuni ya Mpambano huo ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Yule mkurugenzi ambaye ana nyota ya kuwatangaza wagombea wa chadema kuwa wabunge ndg Kagenzi amepata uhamisho wa ghafla na kupelekwa halmashauri ya bukoba. Ikumbukwe mkurugenzi huyu alipata...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
  • Closed
ndugu wana JF nimepata taarifa rasmi kutoka kwa polisi mmoja hapa central kuwa wanamsaka yule mwanafunzi aliyerekodi mkanda wa video pale uhasibu. Mmh jaman hawa mbona tuu much...
0 Reactions
165 Replies
12K Views
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na...
4 Reactions
120 Replies
15K Views
  • Closed
Kwa mujibu wa official CV ya Waziri mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, yeye alipata degree ya BA (International Studies & Diplomacy) kutoka chuo cha Washington...
3 Reactions
183 Replies
32K Views
na Amana Nyembo - Tanzania Daima SHIRIKA la Utangazaji Tanzania (TBC), limeomba radhi kwa kushindwa kurusha matangazo ya moja kwa moja ya kikao cha Bunge la Bajeti, Juni 23, wakati Waziri...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ningeanza na kuuliza, hivi ni nani asiyejua bila wabunge wa vyama pinzani watanzania tungebaki kua nyuma ya pazia juu ya maswala kama, UFISADI, UONEZI WA CHAMA TAWALA, UTENDAJI BOMU WA...
1 Reactions
0 Replies
752 Views
Ndugu Mwema hongera kwa nishani.Nakuomba mkuu kabisa wa Polisi Nchini msaidie DPP kwa kuwaambia polisi wako watii maamuzi ya Feleshi na ofisini yako .Umewahi yasikia mauaji ya Kata ya Komuge ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mdudu wa ajira za upendeleo aanza kulalamikiwa Bandari Martin Malera MIONGONI mwa mambo ambayo tume aliyoiunda Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, iligundua na kupendekeza...
6 Reactions
84 Replies
13K Views
Leo kutoka radio clouds katika kipindi cha njia panda muuza baa kigamboni alisingiziwa mauaji ya kuua na aliteswa sana na kufanyiwa unyama wa aina yake, aliwekwa kwenye vituo vya polisi karibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Patriki msuta ni katibu wa mkoa wa singida CHADEMA. Msuta amekuwa ni tatizo na kikwazo kikubwa kwa ufanisi wa chadema mkoani singida. Yako madudu mengi yanayofanywa na katibu huyu mfano:amekuwa...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
WanaJF....! Kiukwel nimekuwa na kiu sana pamoja na shauku kuu ya kumuona Kamanda Lema akipiga mzigo wa hoja hasa baada ya kipindi cha bunge hili ambalo limejaa wanasiasa maweruweru wa MACCM...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
kuna taarifa kutoka kwa kaka mmoja ambaye ni mwandishi wa habari mkongwe tu ikisema nanukuu "KUNA TAARIFA WANAKIJIJI WILAYANI MASASI WAMECHOMA MOTO KITUO CHA AFYA KWA SABABU HAWAMTAKI MGANGA...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Hivi ni Itifaki au kuna kingine? Leo akisalimia wageni waalikwa kwa kushikana nao mikono na kila mmoja, lkn hakumpa mkono Lowassa pamoja na Lowassa kupenyeza mkono lkn JK 'hakuuona'. Wakati JK...
3 Reactions
60 Replies
7K Views
Back
Top Bottom