Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SASA kuna kila dalili zinazoonyesha kuwa faili la mtuhumiwa namba mbili katika kesi ya ugaidi iliyofunguliwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Ludovick Joseph, limeyeyuka baada ya Kamanda wa Polisi...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
http://youtu.be/XWzXTviWmFQ Angalizo: Video hii inapatikana YouTube http://youtu.be/sBJQZSOPIKc
6 Reactions
76 Replies
9K Views
Nimeamua kuweka video hapa ili watanzania muweze kuamua kama kweli Mhe. Lema alihusika na mauwaji na kuchochea vurugu chuo cha uhasibu Arusha kama mkuu wa Mkoa wa Arusha (Mulongo) anavyodai. Part...
54 Reactions
207 Replies
29K Views
  • Closed
.............................. Dr. Imani Hamza Kondo ( kwenye dunia ya ku-blog wananifahamu kama zemarcopolo), ninatangaza nia ya kugombea ubunge wa Morogoro Kusini Mashariki kwa tiketi ya CCM...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
  • Closed
Kanisa Katoliki jimbo kuu la Arusha wanafanya sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya ya kanisa (jubilee). Sherehe hizo zinarushwa na TBC 1 pia jeshi la wananchi wapo kuimarisha ulinzi...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Mdogo wa mwisho wa mbunge wa Nzega mheshimiwa Hamis Kigwangala anayejulikana kwa ina la LUMOLA STEVEN KAHUMBI leo amevua MAGAMBA na kuvaa MAGWANDA rasmi BAADA YA KUCHOSHWA na BLAH BLAH za CCM...
4 Reactions
66 Replies
10K Views
Ndugu zangu wana JF, Naomba kuwaita viongozi wa Chadema Taifa kuja kufanya mikutano ya mfululizo katika vijiji vya mkoa wa Ruvuma.Nimefikia uamuzi wa kutoa wito kwa Chama kufika ili kuimarisha na...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Leo mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza amenukuliwa na radio City fm akikosoa mfumo wa elimu na matokeo ya shule za kata. katika moja ya maneno yake amesema "tumewajengea shule kila kata, lakini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
UKIUKWAJI wa sheria, taasisi za serikali kushindwa kutimiza wajibu wake pamoja na rushwa, ni miongoni mwa sababu za kuanguka kwa maghorofa Jijini Dar es Salaam, imebainika. Utafiti uliofanywa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makamnda.....! Hapa tupo ktk M4C uwanja wa town school, kuna mafuriko ya watu hasa vijana kama maporomoko ya mto Amazoni, baadhi ya makamanda wa Tabora wameanza kutupa mawe huku tukisubiria...
26 Reactions
306 Replies
21K Views
Tanzania nchi yangu naipenda sana. Imebidi leo nitoe mawazo yangu kuhusu mstakabali wa nchi yetu hii nzuri sana. Maelezo haya ninayoyatoa hayaegemei upande wa chama chochote au dini yeyote ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kufuatilia kwa Muda mrefu sasa, swala la Wanamuziki wa Kizazi Kipya Maarufu kama Bongo Fleva! Ktk Kutumiwa na vyama vya siasa, hususan CCM na CHADEMA! Miaka ya nyuma tulizoea kuiona...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Nina hakika kama Mwalimu Nyerere angekuwa hai leo na kuangalia majadiliano ndani ya Bunge letu kupitia televisheni ya TBC, angekatishwa tamaa kabisa na hulka na ujengaji hoja wa baadhi ya wabunge...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali imetamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar si Amiri Jeshi wala Mkuu wa Nchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) leo bungeni. Itakumbukwa kuwa kuna mjadala...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Kindly follow live the proceedings of the EAC Summit of heads of state via; East African Community - Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, Burundi
0 Reactions
0 Replies
835 Views
MBUNGE wa Morogoro Mjini (CCM), Abdulaziz Abood, ameng'ara mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, baada ya kufanikisha mradi wa uchimbaji wa visima vya maji 23 kwa ajili ya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Uongozi kwa njia ya vitisho ni uongozi wa kudumu kwa muda mfupi tu. Watu wanapokosoa maamuzi ya kijinga wanatumia haki yao kama raia na wanaweza kuelimishwa kwa nini maamuzi hayo yalifanyika ama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limedaiwa kumtelekeza mbunge wa Viti Maalumu, Christina Mughwai (CHADEMA), kutoka mkoa wa Singida. Mughwai ambaye amelazwa tangu Aprili 14, mwaka huu...
1 Reactions
97 Replies
9K Views
Kwa kupitia CHADEMA kuna watu WATAANGUKA na kuna watu WATASIMAMA hili jambo kama CDM hawatakuwa makini wakasahau ule usemi wa kiswahili kuwa ngoma ikivuma sana hupasuka. Tukumbuke mwaka 1995...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Shehena iliyobeba meno ya tembo na faru inayosadikiwa kutoka Tanzania imekamatwa Hong-kong kwa mara ya pili. Hii ya pili kwa bahati mbaya haikutangazwa kwenye vyombo vya habari. Tanzania, serikali...
0 Reactions
102 Replies
9K Views
Back
Top Bottom