Lowassa afunika Iringa

Jul 27, 2012
19
7
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.
 
Anamhonga hata Mungu??? Rushwa kweli haina woga.
 
Hayo Mapokezi atakuwa amejiandali yeye Mwenyewe, ni sawa na wewe un akuwa na Part home, Unaandaa kila kitu mwenyewe na baadae sasa unaoga unavaa freshi na unakaa kusubiria uhudumiwe msosi na vinywaji ulivyo andaa mwenyewe
 
MBUNGE FILIKUNJOMBE KUSHUHUDIA TUZO YA LOWASSA IRINGA LEO,MAPOKEZI MAKUBWA AANDALIWA

images

Mhe.Lowassa
MBUNGE wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe ni miongoni mwa wabunge watakaoshuhudia hafla ya waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kutunukiwa tuzo ya heshima leo mjini Iringa.​

Akizungumza kwa njia ya simu kutoka mjini Dodoma ,Filikunjombe alisema kuwa anategemea kuwasili mjini Iringa kwa ziara ya siku moja kwa ajili ya kumuunga mkono Lowassa katika mwaliko wake wa kushiriki harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa .

images
Mbunge Filikunjombe​
Hata hivyo waumini na uongozi wa huduma ya injili na uponyaji ya Overcomers Power Center (OPC) chini ya Askofu Dkt Boaz Sollo ambao leo​
wameandaa mapokezi makubwa kwake kwa ajili ya kumpokea Lowassa kutoka katika uwanja wa Ndege Nduli majira ya saa 3 asubuhi atakapowasili kwa Ndege na kuelekea katika ukumbi wa St Dominic ambako kutafanyika shughuli hiyo kuanzia muda wa saa 6 mchana .​

Akizungumza na waandishi wa habari jana askofu Dkt Sollo alisema kuwa mbali ya kumtunuku tuzo hiyo Bw Lowassa pia kiongozi huyo anataongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa jengo la kanisa la OPC linaloendelea kujengwa katika eneo la zizi la Ng’ombe ambapo zaidi ya Tsh. Milioni 250 zinahitajiika kukamilisha ujenzi wa jengo hilo pamoja na kituo cha Radio Overcomers Fm (98.6 Mhz)kilichopo mjini Iringa .​

Dkt Sollo alisema kuwa lengo la OPC kumwalika na kumtunuku tuzo ya heshima Bw Lowassa ni kutokana na kuwa jirani zaidi na jamii na amekuwa akiitika wito wa makundi mbali mbali na kuyasaidia bila ubaguzi wowote hivyo kutokana na mchango wake huo kwa jamii wao kama kanisa wameona ni vema kuutambua mchango wake huo na kumwalika ili kumpa tuzo hiyo maalum kama ahsante kwake.​

“ Tuzo hiyo itampa moyo zaidi wa kuendelea kuwa karibu na jamii na kutambua pia mapokeo ya jamii ambayo amekuwa akiisaidia mara kwa mara ….ikiwa ni pamoja na kuendelea kusaidia kuendeleza amani nchini kwa kuchangia nyumba za ibada”
images
Askofu Dkt Sollo​
Dkt Sollo alisema kuwa Lowassa ambae ni mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha amekuwa kipenzi cha wengi hata wale wasio wapiga kura wake na kuwa uongozi wake kama waziri mkuu wengi walitokea kumpenda na kuwa toka alipojiuzulu nafasi hiyo ya uwaziri mkuu hajapata kufika mkoani Iringa hivyo sehemu kubwa ya wana Iringa wana hamu kubwa ya kukutana nae kwa mara nyingine.

Hata hivyo baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Iringa wamepongeza hatua ya OPC chini ya Dkt Sollo kuamua kumtunuku tuzo hiyo Lowassa na kuwa ni kweli anastahili kupewa tuzo kwani ni miongoni mwa viongozi waadilifu na wachapa kazi hapa nchini.

MyTake: Kweli Maajabu Hayataisha Nji hii, labda sikuhizi neno "Muadilifu" limebadilishwa maana...
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.

nilijuwa tu itakuwa ni ishu ya Kanisa.
 
Na msigwa naye yumo?
 
Na isomeke:Waziri mkuu aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kashfa ya ufisadi.

Hahaaa, Ben au bean Saanane? kazi mayo CDM mtajaribu kujikuna huku na kule lakini mwisho wenu chali, Vipi mkuu yule mjukuu wa balozi ana umri gani sasa?
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.

Lowasa hajawahi kuwa waziri mkuu mstaafu. Usipotoshe umma kwa kuvimbisha tumbo lako
 
ni ukweli usiopingka kuwa huyu mh.anajiandalia kili kitu mwenyewe. Hata arusha alishaandaa maandamano ya kumpokea kamanda wa polisi akayazuia. Ndo zake anaratiba iliyoandaliwa na wapambe wake mpaka mwishoni mwa 2014
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom