Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali ya kushangaza CCM imeweza kumhonga Rais anaemaliza mda wake na tume ya uchaguzi na kuwapitisha wagombea wote wa CCM ambao ni vilaza na mazezeta, kwa vyovyote vile Rais atakuwa wa CCM...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Dakika tano zilizopita Mh. John Mnyika aliinuka kutoa hoja aungwe mkono na bunge zima. Hoja yenyewe ilikuwa ni kuhusu jambo linalohusu mamlaka ya bunge kwamba liweke ukomo kupewa taarifa ile ya...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Hali ya mji wa Arusha ni Kijibaridi na kumekucha kwa manyunyu,Watu wamekuwa ktk vikundi huku usafiri ukidaiwa kuwa wa taabu katika baadhi ya maeneo kutokana na wengi kuja kufuatilia Mashitaka...
54 Reactions
453 Replies
36K Views
Akichangia hotuba ya wizara ya maji, Mbunge Nassari amemkosoa kwa jazba Waziri wa maji kwa kuhoji kuwa kijiji alichokiandika Waziri kuwa kimepewa maji hakipo mahali popote Tanzania na kumwita...
1 Reactions
110 Replies
11K Views
"CCM wamepanic na hawapo tayari kuachia madaraka hivi hivi". Ni wazi kuwa wameshajiapia kuwa liwalo na liwe na sasa wapo tayari kufanya lolote, na kama ni kufa hawapo tayari kufa wenyewe. Bila...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
kwa maneno mafupi yasiyo ya kumumunya naomba niwaulize swali watanzania wenzangu tulio na uchungu na nchi yetu je hatuoni ni wakati sasa tuanza kupigania rasilimali zetu kila kukicha kashfa za...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Nimepita kwenye mitaa ya hapa Washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street[adams morgan]. Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu unaofanywa na serikali ya CCM huko Tanzania. Ni picha...
10 Reactions
169 Replies
29K Views
Leo kulikuwa na mkutano wa viongozi wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha, ambapo waliohudhuria ni JK wa TZ, Uhuru Kenyatta wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hatimaye bunge limesimama upande wa Mnyika kwa hoja yake ya kuondoa shilingi katika kupitisha bajeti ya maji, KWAMBA SASA BUNGE LIAZIMIE KUIAMURU SERIKALI IWEKE KIPAUMBELE CHA KUPELEKA PESA...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Watanzania 11,510,482 sawa na asilimia 57.16% ya Watanzania waliojiandikisha kupiga kura hawakujitokeza kupiga kura. Katika uchaguzi huo mgombea wa kiti cha...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Nadhani ni Tanzania Pekee hapa duniani ndio uchaguzi hua hauishi, mpaka chaguzi nyingine zianze. Tokea 2010 atangazwe JK kua Rais, sijawahi kuona Chadema wakifanya shughuli nyingine apart from...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi Mkuu uliopita, matatizo kadhaa yaliyotokea nchini kukandamizwa CHADEMA kwa kunyimwa haki zao za kutumia njia za kawaida katika kuunda halmashauri ya jiji la Arusha na hivyo...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Hili limethibitishwa na matendo ya Magesa Mulongo. Hivi ni vyeo vinavyotumika kutawala watu kwa mabavu kwa manufaa ya waliowatuma na kuwateua. Vyeo hivi vinaondoa dhana ya madaraka kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wa Iringa pasipo kujali itikakkadi zenu za kisiasa muungeni mkono sana Mhe. Msingwa katika hili la wafanyabiashara wadogo wadogo pale Mashine Tatu kwani kwani maisha yenu na hatima yake yapo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wazo la Kuudhi: Wapo makamanda wa Polisi (mfano Kamuhanda na Sabas) na Wakuu wa mikoa (mfano Mulungo) ambao kwa kweli wangekuwa wanapendwa sana na wakoloni! Wangeweza hata kupewa nishani kwa...
19 Reactions
24 Replies
2K Views
Ujenzi wa bandari kubwa ya kisasa katika wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, umezua hofu miongoni mwa watumishi wake, kuwa watapoteza kazi kwa kile kinachoelezwa kuwa ujio wa mradi huo. Lakini pia...
2 Reactions
82 Replies
8K Views
Kwa wale wanaofuatilia shughuli za Bunge, nadhani watakubaliana na ukweli kuwa wazee wa miongozo ni chanzo cha mitafaruku ndani ya Bunge.
0 Reactions
33 Replies
3K Views
1) Bado hakuna MWAfaka wa kitaifa kuhusu mambo muhimu kama MUUNGANO, madaraka ya RAIS nk na iwapo KATIBA itakuja itasababisha mgawanyiko zaidi katika jamii na kuleta utengano --- muda zaidi...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Mke wa Rais, Mama Salma Kikiwte amefichua kuwa amewahi kupelekewa yatima "feki" katika anayoisimamia ya Wama Nakayama iliyopo Rufiji mkoani Pwani, ambayo ni maalum kwa watoto yatima na walioko...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nili m-google huyu jamaa ndo nikapata hii nikaone niwashirikishe. Soma MKUU WA MKOA WA ARUSHA AONYWA mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo KAMATI tendaji ya jumuiya ya tawala za mitaa...
1 Reactions
89 Replies
11K Views
Back
Top Bottom