Watanzania tusiwe washabiki tu

Watanzania tusiwe washabiki tu

kareem msagala

New Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
3
Reaction score
1
Ningeanza na kuuliza, hivi ni nani asiyejua bila wabunge wa vyama pinzani watanzania tungebaki kua nyuma ya pazia juu ya maswala kama, UFISADI, UONEZI WA CHAMA TAWALA, UTENDAJI BOMU WA WANACCM,,,UKANDAMIZAJI WA VYAMA ETC
Tanzania ya leo imejengwa na matabaka mawili kati ya matajiri sanaa na masikini wakutupwa huku viongozi wetu wameongoza kujilimbikizia mali bila kujali..sitaki kuamini POLISI ni aina gani ya kilevi walichonyweshwa na CCM kuitumikia kwa kuwatesa wananchi wasiokua na hatia kwa kuwabambikia kesi na kuwalinda watawala badae wakirudi nyumbani kwao kuendeleza maisha yao ya dhiki waishio na familia zao huku watawala wakiendelea na maisha yao ya kifahari.
kumbukeni kua MAGOGONI ni miaka 10tu na si zaidi ya hapo.........kumbukeni vilio vya watoto yatima waliopoteza ndugu zao mikononi mwenu.........UWEZO WA MUNGU NI ZAIDI NGUVU ZA MWANADAMU
 
Back
Top Bottom