AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
WanaJF....!
Kiukwel nimekuwa na kiu sana pamoja na shauku kuu ya kumuona Kamanda Lema akipiga mzigo wa hoja hasa baada ya kipindi cha bunge hili ambalo limejaa wanasiasa maweruweru wa MACCM ambao dawa yao ni viongozi wa upinzani wenye ujasiri na uthubutu kama kamanda Lema, Pia imekumbukwe tuna hamu sana ya kumsikia bungeni hasa baada ya kurudihswa ubunge wake na mahakama.
Hivyo naomba kwa mwenye taarifa atueleze ukimya wa kamanda Lema bungeni umetokana na nini au bungeni hayupo kabisa mjini Dodoma na ana majukumu mengine jimboni kwake Arusha.
Shardcole.